Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,251
lkThis is news to me!!!
Nimejaribu ku-search for details about our military uniform na nimegundua kwa kawaida sisi hatutumii flag patch na iwapo tungetumia flag patch ingefanan hivi kutokana na toleo ya Equestrade group ambayo ina toa huduma ya military acessories
Point noted.Tutajitahidi kupata ukweli kadiri inavyowezekana kesho kupitia kipindi cha Waziri Mkuu. Au kwa njia nyingine za kibunge pia. We shall keep you posted.Katika swali la msingi ndani yake kuna swali jingine ambalo naamini linapaswa kuulizwa na ambalo laweza kutoa jibu:
a. Je kuna mwanajeshi yeyote wa Marekani mwenye asili ya Tanzania anayepigana Iraq? Jibu la swali hilo kwa kadiri ninavyojua ni ndiyo. Wapo vijana wachache wa Kitanzania waliojiunga na jeshi la Marekani na sasa hivi/wamewahi kupigana Iraq. Hawa sasa hivi ni Wamarekani au wako mbioni kuupata uraia wa huku (Kumbuka kujiunga na jeshi la Marekani siyo lazima uwe raia, unahitaji kuwa na Permanent Residence). Je yawezekana huyo ni mmoja wao?
b. Je kuna askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambaye anashiriki mapigano Iraq chini ya Jeshi la Marekani au pamoja na Jeshi la Marekani? Nina majibu mawili. Inawezekana, chini ya mamlaka ya Kikatiba ya Rais ambayo tumempa nguvu ya kumuamuru mwanajeshi yeyote kutekeleza majukumu fulani ndani au nje ya nchi. Katika nguvu hiyo ya Kikatiba Rais halazimishwi kulijulisha Bunge deployments ya troops wetu.
Jibu la pini ni hapana kwani kwa kadiri ninavyofahamu Tanzania haina mkataba wa kusaidiana vitani kijeshi na Marekani. Kama mkataba huo upo ni lazima Bunge lingepaswa kujua. Kwa vile Dr. Slaa yuko kwenye mtandao anaweza kuuliza swali hili siku ya Alhamisi kwa Waziri Mkuu.
please uliza tuu to be sure.Point noted.Tutajitahidi kupata ukweli kadiri inavyowezekana kesho kupitia kipindi cha Waziri Mkuu. Au kwa njia nyingine za kibunge pia. We shall keep you posted.
Point noted.Tutajitahidi kupata ukweli kadiri inavyowezekana kesho kupitia kipindi cha Waziri Mkuu. Au kwa njia nyingine za kibunge pia. We shall keep you posted.