rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Lol! Kaazi kweli! Nakushauri ukifika hotelini, waambie reception desk wakupe tourist information. Mostly utakuta stall ina leaflets mbalimbali. Otherwise wanaweza wakakutafutia tour guide na a reliable transport provider. Enjoy!
Au labda yeye ndie anatafuta wa kumwingiza mjini, chezeiya mtandao weye..uko sawa mno kinyume na hapo utaingizwa mjini
Dukwiye gushima.Imbabazi za Imana
Au labda yeye ndie anatafuta wa kumwingiza mjini, chezeiya mtandao weye..
Mkuu mpm mtu chake. ni borntown hapo Kigali. mtafute kwa pm atakujibu sasa hivi. Mia