Kuna wageni ambao hawana ustaarabu mezani saa ya chakula

Huku kwetu mgeni ni Mfalme na anapotokea siku ya kuondoka uaxha baraka kwa kumkilimu. Pia uchukua zetu aidha baraka au mapungufu ya kibinadamu.

Miaka 35 nawakalimu wageni wetu na najua binadamu tuko tofauti na tofauti zao aidha nawaambia au naziacha kwao bila kumuudhi akakosa kututembelwa..
 
Unakaribishwa chakula kwenye familia, mabakuli makubwa ya chakula na mbogamboga yanawekwa kati kati. Inakuja wakati kila mtu ajiwekee chakula anachopenda...

Aisee nimecheka sana...lakini huo ndio ukweli! Mimi nilipata mgeni last two weeks lakini alikuwa wakipekeee...alikuwa anakuja na Taulo tena akiwa kifua wazi Mezani! Muda wote alikuwa akizunguka na Taulo na bila Vest ndani hata pale ambapo walikuja wageni zake kumtembelea! Hakika nilikuwa na wakati mgumu sana! Lakini finally nilitumia diplomasia kumuondoa!
 
Noted. Ila mimi sipendi kabisa kula kwa watu. Na ikitokea basi huwa napakuwa chakula kiwango kidogo kadiri nitakavyoweza. Ni bora nisishibe ugenini, nitaenda kujazia mbele ya safari (nyumbani).
+1
Mimi sili kabisa kwa watu , no matter what. Sana sana nitakunywa Maji,
Unakaribishwa chakula hapo hapo unakuwa under surveillance jinsi gani utakula, hapana
 
Aisee nimecheka sana...lakini huo ndio ukweli! Mimi nilipata mgeni last two weeks lakini alikuwa wakipekeee...alikuwa anakuja na Taulo tena akiwa kifua wazi Mezani! Muda wote alikuwa akizunguka na Taulo na bila Vest ndani hata pale ambapo walikuja wageni zake kumtembelea! Hakika nilikuwa na wakati mgumu sana! Lakini finally nilitumia diplomasia kumuondoa!
Huyo atakua amezoea maisha ya kukaa kwenye chumba kimoja. Chumba, sebule na jiko vyote unaviona ukiamka asubuhi, hata kushinda na taulo ni sawa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom