Wakuu napitia mtihani mgumu sana maishani mwangu,
Mke wangu amegundilika ana uvimbi wa kansa kwenye ubongo unaokua kwa kasi sana na kupelekea macho kupishana maumivu yasio isha ya kichwa, kutapika kila akila chakula, kukosa balansi ya mwili na usikivu hafifu
Hadi sasa nimekwisha tumia zaidi ya sh milioni 6 kwa ct scan, mri, na operation ndogo ya kupinguza maji kwenye ubongo.
Nimeletewa bili kabla ya matibabu ya upasuaji wa kuondoa uvimbe na recovery zake naona gharama imekua kubwa sana inakimbilia kwenye milioni 20+.
Nimefika mwisho wa kujitutumia na familia yangu nikaona nije jukwaani kuuliza kama kuna namna yoyote naweza kupambana serikalini au taasisis yoyote ile nikapata msaada.
Natanguliza shukrani