Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 343
- 1,006
wakuu nawasalimu!
Wakuu matokeo yangu hayaniruhusu kwenda degree (DEE) hivyo option iliyokuwepo ni diploma TU.
Hivyo basi nahofia Ku apply diploma kwani sitaweza kulipia Ada ambayo ni zaidi 1M na pengine kupoteza hata kiasi hiki kidogo cha garama za Ku apply vyuo.
Nimekuja kwenu wanajukwaa kuuliza kama kuna mwenye kujua kama bodi ya mikopo wanaweza kuregeza ule Msimamo wao baada ya Upembuzi kwa Wanafunzi wa ngazi ya degree kukamilika. Nawaza mwezenu nisije kosa vyote maisha ya mtaa magumu!
Karibuni wanajf