Kuna Uwezekano wa HELSB kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa diploma

Sitaki kuamini

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
341
1,004
wakuu nawasalimu!
Wakuu matokeo yangu hayaniruhusu kwenda degree (DEE) hivyo option iliyokuwepo ni diploma TU.
Hivyo basi nahofia Ku apply diploma kwani sitaweza kulipia Ada ambayo ni zaidi 1M na pengine kupoteza hata kiasi hiki kidogo cha garama za Ku apply vyuo.
Nimekuja kwenu wanajukwaa kuuliza kama kuna mwenye kujua kama bodi ya mikopo wanaweza kuregeza ule Msimamo wao baada ya Upembuzi kwa Wanafunzi wa ngazi ya degree kukamilika. Nawaza mwezenu nisije kosa vyote maisha ya mtaa magumu!

Karibuni wanajf
 
Deploma ya kazi gani sasa ? Nenda open univ upige kozi ya mwaka mmoja then utakua qualified kuingia chuo chochote
 
Sawa mkuu Nashukuru kwa niaba ya vilaza
Mkuu, sio matusi. Rudia kusikiliza hotuba za mheshimiwa wakati anawatimua wanafunzi wa diploma UDOM. Alisema, vilaza waende kwenye vyuo vya hadhi yao, yeye hatatoa pesa ya kuwasomesha.
Mimi ndio nilikuwa nakujibu maana umeuliza.
=======
NB
Nenda kajaribu kuomba vyuo vya ualimu vya serikali kama Kigurunyembe-Morogoro, nadhani wale wanasomeshwa na serikali ila sio kwa mkopo. Ila boom (pocket money) hawapewi.
 
Ni kweli alisema mkuu na aliwafukuza tena kwa dharau!! ' Hataki vilaza' lakini Mimi si mojawao
 
Rekebisha heading mkuu.

Kuna uwezekano wa HESLB kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma.

Iwe.

Kuna uwezekano wa HESLB kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma?
 
Sawa mkubwa nahisi umekuja baada ya kuona Mapungufu hayo katika heading yangu
Mwaga nondo basi nifanye nini Mimi kijana wako Kuendelea na masomo ya afya ngazi ya diploma!?? Natanguliza shukrani
 
Deploma ya kazi gani sasa ? Nenda open univ upige kozi ya mwaka mmoja then utakua qualified kuingia chuo chochote
kweli mzee neenda pale biafra OPEN UNIVERSITY ukapige kozi mwaka mmoja then ufaulu vizuri halaf utaqualify kusoma degree
 
Open university kwangu bado kitu kigeni kwangu, Utaratibu upoje mkuu wa kujiunga? Ada Je? Nijuzee kidogo mkuu Tafadhali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom