Kuna Uwezekano wa HELSB kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa diploma

Open university kwangu bado kitu kigeni kwangu, Utaratibu upoje mkuu wa kujiunga? Ada Je? Nijuzee kidogo mkuu Tafadhali
ada 6k utaratibu wa kujiunga ni rahisi pia lakin is better uende pale BIAFRA KINONDONI ambapo kipo chuo kwa hapa DAR watakupa maelekezo vizuri zaid
 
Back
Top Bottom