Ushauri: Tunza MSG za Miamala ya Fedha, Ningelala Selo leo

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Kidogo tuu nianze kusagula mikanda na viatu leo, Sijui ningetoka lini na ni ugenini.

Kati ya kitu ambacho hua sifanyagi basi ni kufuta msg yoyote ya muamala kwenye simu, nikibadirisha simu hua na Backup SMS zangu zote, Call logs n.k kwenye simu Mpya, kwa ufupi naendelea nilipoishia..
Leo hii hatimaye ime pay out,

Sitaelezea kisa ila kwa ufupi Niliyekua namtumia miamala yote ya kiofisi tunaenda ofisini kukabidhi Mahesabu aliniruka futi 7, Sikuamini macho yangu....

Siku tatu kabla nilikutana naye akaomba simu yangu, nikampa kumbe sijui alikua anataka afute msg, kuangalia nahisi hakuona msg za miamala wala zake tulizokua tunachati... kumbe nikama uchale nilizi swap kwenye Archive(hua nafanyaga hivi kwa baadhi ya msg hasa za miamala na za privacy kuzuia mtu mwingne asisome) hivyo hazionekani pale juu... akarudisha.

Basi likapita kumbe ndio akajisemea huyu kwisha, Baada ya kuruka mkuu alikua hataki kusikiliza lolote ni Polisi wote, kufika yeye ndio kidomo domo(ushauri wa 2, hata kama unajiaminisha kitu kiasi gani epuka over confidence) alikua hata wale Polisi wakimuuliza issue anajibu kwa dharau.., msimamizi wetu akiuliza hivyo hivyo.

Mara ya kwanza nikajitia kama sina hili wala lile, sikutaka kukimbilia "nina ushahidi sijui nini na nini, pengine angeshatafuta means "

Ndio akaanza muambieni aoneshe hata msg kama alishawahi nitumie pesa, aoneshe hio miamala...
Na maneno mengi over confidence.

Ikageukia kwanguu, kenyewe kanatingisha kichwa tuu, nikaelezea kiundani weee, baada ya hapo issu una ushahidiii...?

Nikaomba Simu yangu, Ile simu alikua ameshika Askari ambaye sikua na iman naye kabisaa, nahisi walikua na mchongo, na mda wote alikua anapekua kujiridhisha...

Nikashika Simu, Askari wa 3 wakasogea karibu, Bosi, na mshkaji mwingine...

Nikafungua Archive za Benk, M-Pesa, na ya kwake...
Ngoma ikashuka moja baada ya nyingine, na uzuri inajulikana there is NO WAY unaweza uka edit msg za miamala, kwanza hazinaga hata sehemu ya ku reply...

Na ilikua kila nikimtumia Pesa namfowadia msg ya muamala, namuuliza umeona? Anakiri NDIO..

Basi huo ndio ulikua mwisho wake,
Over confidence ikageuka machozi yanayoshuka bila kupiga kelee, Ikageuka excuse, hatimaye kuomba dhamana ya kulipa,

Ila kuhusu hio tender Imemfikia tamati, Amebakiza safari ya kurudi Mjini kwa Malipo..

Kwenu..
Hizi smartphone za leo (naamini wengi humu ndio mnatumi) hazijai msg kirahisi jamani, Wewe kuacha msg ya muamala inakukera nini? Labda kama ni za mchepuko..

Achilia mbali katika kesi kama hizi, msg za miamala binafsi hua nazitumia sana kuunganisha matukio,
Mfano unakumbuka kuna siku ulituma pesa kwa mtu flani, umesahau ni kiasi gani, ni kitendo cha ku scroll chini kutafta jina itakukumbusha.

Pili, kuna tukio flani umesahu ter yake, ila unakumbuka kua tukio hilo liliendana na muamala flani, Ni kazi ndogo tuu ya ku scroll chini kutafta uliyemtumia...

Tatu, hata kama umesahau kila kitu, utashuka chini tuu, ukishaona MSG, ter, kiasi na Jina la mpokeaji lazima utakumbuka tukio.

Na mimi sana sana hizi ndio zilikua sababu kubwa, hua nakumbushwa ter za matukio flani kwa ku refer miamala, hii ya ushahidi ilikua minor sana..

BTW katika hili ni wazo, kila yule anamtazamo wake, najua kuna njia nyingne za kuipata kutoka kwa service providers, ila hapo ningeshalala ndani na usumbufu wa kutosha, Ni ushauri kwa kuzingatia kilichonitokea.

Chukua tahadhari..
Wanaumbe ni Mbwa ila Wanawake ni Majoka...

Wanaume wenzangu
One to One Mahakamani against women bila ushahidi? huchomoi,
Kitendo cha kuingia naye tuu ndani ni moja bila.
Hivi vi sista duu vinavyoona kila mwanaume ni ndezi kwa KE ni vya kunyoosha.
 
Siku tatu kabla nilikutana naye akaomba simu yangu, nikampa kumbe sijui alikua anataka afute msg, kuangalia nahisi hakuona msg za miamala wala zake tulizokua tunachati... kumbe nikama uchale nilizi swap kwenye Archive(hua nafanyaga hivi kwa baadhi ya msg hasa mara nyingi pia kuzuia mtu mwingne asisome) hivyo hazionekani pale juu... akarudisha.

One to One Mahakamani against women bila ushahidi? huchomoi.
Asante Sana hiyo archives ndo baba lao
 
Hongera .
Nakuonea wivu maana mwenzio nilikula hela za kazini na wana badae wakanigeuka huku sina hata ushahidi .

Nikaenda jela nikalitumikia taifa sasa nimerudi wanaona aibu baada ya kurudi na kupata hela nzuri ya urithi yaani nawanyoosha kila siku ni party hapo sijaongelea kujipigisha simu za mamilioni yangu huko NMB yaani wewe acha tu .

Pole na hongera
 
Mkuu hata ungekuw unatumia APP ZA PESA mfano mdogo M-PESA APP
Unaweza ukapata muamala yote ya mwaka mzima.. hata ya mwezi husika kama unavyojua bank statement.. ilivyo tena unaweza ukaprint..tekinolojia imekuaa sanaa
 
Sa tutatunza mingapi tukio lije baada ya miaka 10 huko si itakuwa umejaza simu!.
Kwani mitandao Haina historia ya miamala...?
Wengine hatupendagi kabisa kukaa na midude ambayo yashaisha kazi inahitaji uvumilivu kufanya hivyo... Wewe utakuwa mtu wa magendo..😅
 
Hongera .
Nakuonea wivu maana mwenzio nilikula hela za kazini na wana badae wakanigeuka huku sina hata ushahidi .

Nikaenda jela nikalitumikia taifa sasa nimerudi wanaona aibu baada ya kurudi na kupata hela nzuri ya urithi yaani nawanyoosha kila siku ni party hapo sijaongelea kujipigisha simu za mamilioni yangu huko NMB yaani wewe acha tu .

Pole na hongera
Kula kwa makini.
 
Kidogo tuu nianze kusagula mikanda na viatu leo, Sijui ningetoka lini na ni ugenini.

Kati ya kitu ambacho hua sifanyagi basi ni kufuta msg yoyote ya muamala kwenye simu, nikibadirisha simu hua na Backup SMS zangu zote, Call logs n.k kwenye simu Mpya, kwa ufupi naendelea nilipoishia..
Leo hii hatimaye ime pay out,

Sitaelezea kisa ila kwa ufupi Niliyekua namtumia miamala yote ya kiofisi tunaenda ofisini kukabidhi Mahesabu aliniruka futi 7, Sikuamini macho yangu....

Siku tatu kabla nilikutana naye akaomba simu yangu, nikampa kumbe sijui alikua anataka afute msg, kuangalia nahisi hakuona msg za miamala wala zake tulizokua tunachati... kumbe nikama uchale nilizi swap kwenye Archive(hua nafanyaga hivi kwa baadhi ya msg hasa za miamala na za privacy kuzuia mtu mwingne asisome) hivyo hazionekani pale juu... akarudisha.

Basi likapita kumbe ndio akajisemea huyu kwisha, Baada ya kuruka mkuu alikua hataki kusikiliza lolote ni Polisi wote, kufika yeye ndio kidomo domo(ushauri wa 2, hata kama unajiaminisha kitu kiasi gani epuka over confidence) alikua hata wale Polisi wakimuuliza issue anajibu kwa dharau.., msimamizi wetu akiuliza hivyo hivyo.

Mara ya kwanza nikajitia kama sina hili wala lile, sikutaka kukimbilia "nina ushahidi sijui nini na nini, pengine angeshatafuta means "

Ndio akaanza muambieni aoneshe hata msg kama alishawahi nitumie pesa, aoneshe hio miamala...
Na maneno mengi over confidence.

Ikageukia kwanguu, kenyewe kanatingisha kichwa tuu, nikaelezea kiundani weee, baada ya hapo issu una ushahidiii...?

Nikaomba Simu yangu, Ile simu alikua ameshika Askari ambaye sikua na iman naye kabisaa, nahisi walikua na mchongo, na mda wote alikua anapekua kujiridhisha...

Nikashika Simu, Askari wa 3 wakasogea karibu, Bosi, na mshkaji mwingine...

Nikafungua Archive za Benk, M-Pesa, na ya kwake...
Ngoma ikashuka moja baada ya nyingine, na uzuri inajulikana there is NO WAY unaweza uka edit msg za miamala, kwanza hazinaga hata sehemu ya ku reply...

Na ilikua kila nikimtumia Pesa namfowadia msg ya muamala, namuuliza umeona? Anakiri NDIO..

Basi huo ndio ulikua mwisho wake,
Over confidence ikageuka machozi yanayoshuka bila kupiga kelee, Ikageuka excuse, hatimaye kuomba dhamana ya kulipa,

Ila kuhusu hio tender Imemfikia tamati, Amebakiza safari ya kurudi Mjini kwa Malipo..

Kwenu..
Hizi smartphone za leo (naamini wengi humu ndio mnatumi) hazijai msg kirahisi jamani, Wewe kuacha msg ya muamala inakukera nini? Labda kama ni za mchepuko..

Achilia mbali katika kesi kama hizi, msg za miamala binafsi hua nazitumia sana kuunganisha matukio,
Mfano unakumbuka kuna siku ulituma pesa kwa mtu flani, umesahau ni kiasi gani, ni kitendo cha ku scroll chini kutafta jina itakukumbusha.

Pili, kuna tukio flani umesahu ter yake, ila unakumbuka kua tukio hilo liliendana na muamala flani, Ni kazi ndogo tuu ya ku scroll chini kutafta uliyemtumia...

Tatu, hata kama umesahau kila kitu, utashuka chini tuu, ukishaona MSG, ter, kiasi na Jina la mpokeaji lazima utakumbuka tukio.

Na mimi sana sana hizi ndio zilikua sababu kubwa, hua nakumbushwa ter za matukio flani kwa ku refer miamala, hii ya ushahidi ilikua minor sana..

BTW katika hili ni wazo, kila yule anamtazamo wake, najua kuna njia nyingne za kuipata kutoka kwa service providers, ila hapo ningeshalala ndani na usumbufu wa kutosha, Ni ushauri kwa kuzingatia kilichonitokea.

Chukua tahadhari..
Wanaumbe ni Mbwa ila Wanawake ni Majoka...

Wanaume wenzangu
One to One Mahakamani against women bila ushahidi? huchomoi,
Kitendo cha kuingia naye tuu ndani ni moja bila.
Hivi vi sista duu vinavyoona kila mwanaume ni ndezi kwa KE ni vya kunyoosha.

Labda ni kueleze tu kwamba huwezi ruka malipo ya Miamala hata kama text umefuta, zaweza patikana, hata zaidi ya miezi 6 ikibidi.
 
Kuna mtu alinisaidia milion moja 2020 september nikaja kurudisha december 15th 2020 badae tulikuja kukosana end of 2022 akaanza kunichafua kwa watu alinikopa milion sijamrudishia since 2020 kila aliekuwa ananiuliza nilikuwa naonyesha muamala bila maelezo kila anaekuja najibu kwa ushahidi tu nahisi alichoka hakuamini kama huwa sifuti sms,ukiweza usifute sms husaidia sana kuepusha mengi huwezi kujua lini
 
Back
Top Bottom