Kuna usalama hapa ndugu zangu?

Kuna usalama hapa ndugu zangu?

Wadada wa siku hz password ya simu NI ngumu kweli kweli lakin ya chini huko NI swipe left ujipigie .
Zalisha kula Kona kaka 😂
 
Ushasema mara nyingi mnakuwa mbali na unajua mapenz ya mbali ni uongo maana hata wewe lazima unacheat huko so kama umeamua kuwa na ndoa ya kuishi mbali mbali usilalamike kusaidiwa ye nae binadam ana nyege
Kama unataka awe mwaminifu ishi nae
Changamoto za kikazi ndugu japo uko sahihi pia
 
Yani na unapata ujasiri wa kuja JF kuomba ushauri wakat mke wako anagawa papuchi?

just imagine KUTOMBEWA mke -

like serious hujui cha kufanya mwanaume mwenzetu

mimi nilishaaap kuwa mke wangu akinisaliti sitoangalia tuna miaka mingap ndo itakuwa mwisho wetu.

wale wenye ndoa za roma za kuvumilia mpka mmoja afe zilitungwa mwaka 1906 wakati huo wanawake wanaolewa mabikra - sasa hv wanawake wanaolewa single mothers
Sikuwa ku doubt ata siku moja ndugu yangu ndio maana..
 
Maamuzi unayo wewe maana umeshajua unapigiwa,

1. Kuna wanao endelea na hayo mahusiano Kama hakijatokea kitu.
2. Kuna ambao mahusiano yanaishia hapo.

Note:
Mwanamke akichepuka huko akiwa anabanduliwa huwa anatumia staili ambazo hakupi wewe Maana utamuona hana nidhamu,

mfano
Ukitaka dogy style anaweza akagoma kukupa wewe akisingizia amechoka au anaumiaga ila akiwa na Baba naniii..
hatoi excuse yeye anatega mbususu inapigwa from the back.
Ni hatari
 
nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja

Huyo sio mke wako bali ni mpenzi wako mnayezini naye kwa miaka sita...

Kwa kuwa umeshindwa kuoa, hebu achia wenzako wakuoneshe namna mwanamke anavyoolewa
 
Huyo sio mke wako bali ni mpenzi wako mnayezini naye kwa miaka sita...

Kwa kuwa umeshindwa kuoa, hebu achia wenzako wakuoneshe namna mwanamke anavyoolewa
Sawa
 
Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali

Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe"
"For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..

Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!

Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
Mimi sina jibu.
 
Ulimkuta bikra Kama hapana mwambie utaratibu huo akome mpe onyo bakisha ushahidi sehemu salama uliosema uliscrin shot , mpe kalipio lamana akirudia achana mana ndo umeona kosa lakwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom