chimei may
Member
- Feb 14, 2022
- 81
- 93
Unaweza ona doti na kuunganisha ukashindwa jmn uuuuwiiiiiiih poleeeee mimiVitu vingine we jumlisha doti kichwani, hao wanamegana bado unajiulisha nn.

In short unagongewa..Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali.
Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe" "For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..
Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!
Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
Sio kuhisi huo ndo ukweliNa mm nimehisi hivyo mkuu
Mpaka ili usaidiwe, kiufupi mke wako aliliwa, analiwa, na ataendelea kuliwa na huyo mkulungwa.Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali.
Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe" "For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..
Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!
Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
maelezo ya ukweli yenye kuumiza...Maamuzi unayo wewe maana umeshajua unapigiwa,
1. Kuna wanao endelea na hayo mahusiano Kama hakijatokea kitu.
2. Kuna ambao mahusiano yanaishia hapo.
Note:
Mwanamke akichepuka huko akiwa anabanduliwa huwa anatumia staili ambazo hakupi wewe Maana utamuona hana nidhamu,
mfano
Ukitaka dogy style anaweza akagoma kukupa wewe akisingizia amechoka au anaumiaga ila akiwa na Baba naniii..
hatoi excuse yeye anatega mbususu inapigwa from the back.
Yaan wanaume bwanaa..afu ukute wewe ndio sababu ila ndo hujui..we kaa nae msikilize tena mkumbatie afu muulize shida nnn.Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali.
Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe" "For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..
Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!
Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
Yaan wanaume bwanaa..afu ukute wewe ndio sababu ila ndo hujui
I rest my case!!Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali.
Msikilize mzee kaa naye msuluhishe ,Ila ukisikiliza ya watu utapoteaMoja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali.
Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe" "For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..
Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!
Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
Kwenye relationship ukiwa na doughnuts za dizain hizo kuendelea inahitaji neema ya MUNGU hasa kwetu sisi wanaume .... bora ingekuwa kwa ishu nyingine ila siyo kwa hii ... nakazia hapo hana chake tenaUkitaka endelea nae watakatifu hawapo sikuhiz
Kama ni mimi kwa ushahidi huo mara moja napiga chini, mengineyo ya kudanganyana eti kaeni chini muyamalize kwani huwa mnakaa juu ? Ukiwa hujiheshimu inamaana hufundishiki na hiyo si bahati mbaya ni tabia yakoMpaka ili usaidiwe, kiufupi mke wako aliliwa, analiwa, na ataendelea kuliwa na huyo mkulungwa.
Pumzika ndg yng asubuhi thread ya kwanza ni ya kwako tutaijadili vzuuuuri utaridhika na majibu

Unauliza makofi polisi au maembe kibada🤣🤣🤣Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali.