Kuna usalama hapa ndugu zangu?

Kuna usalama hapa ndugu zangu?

Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali

Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe"
"For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..

Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!

Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
Unasugua papuchi ya mtoto wa watu kwa miaka yote huku hujafanya jitihada yoyote ya kumuoa, Sasa umemchoka uunamuanzishia zengwe ili umwache, aiseee unachokipanda utakivuna kwa machozi mazito
 
Sijawahi kuwaza kumuacha hata siku moja kabla ya haya mkuu, mkielewana ndoa ni suala la muda tuu
 
Kuchapiwa Ni Siri Ya Ndani
Vumilia Ndiyo Ukubwa Huo
 
Ukitaka endelea nae watakatifu hawapo sikuhiz
 
Ushasema mara nyingi mnakuwa mbali na unajua mapenz ya mbali ni uongo maana hata wewe lazima unacheat huko so kama umeamua kuwa na ndoa ya kuishi mbali mbali usilalamike kusaidiwa ye nae binadam ana nyege
Kama unataka awe mwaminifu ishi nae
 
Fimbo ya mbali haiui nyoka
 
Yani na unapata ujasiri wa kuja JF kuomba ushauri wakat mke wako anagawa papuchi?

just imagine KUTOMBEWA mke -

like serious hujui cha kufanya mwanaume mwenzetu

mimi nilishaaap kuwa mke wangu akinisaliti sitoangalia tuna miaka mingap ndo itakuwa mwisho wetu.

wale wenye ndoa za roma za kuvumilia mpka mmoja afe zilitungwa mwaka 1906 wakati huo wanawake wanaolewa mabikra - sasa hv wanawake wanaolewa single mothers
 
Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali

Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe"
"For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..

Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!

Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
Maamuzi unayo wewe maana umeshajua unapigiwa,

1. Kuna wanao endelea na hayo mahusiano Kama hakijatokea kitu.
2. Kuna ambao mahusiano yanaishia hapo.

Note:
Mwanamke akichepuka huko akiwa anabanduliwa huwa anatumia staili ambazo hakupi wewe Maana utamuona hana nidhamu,

mfano
Ukitaka dogy style anaweza akagoma kukupa wewe akisingizia amechoka au anaumiaga ila akiwa na Baba naniii..
hatoi excuse yeye anatega mbususu inapigwa from the back.
 
Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali

Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe"
"For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..

Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!

Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
Kama unaoa oa tu, ila usikae ufikirie kuwa huta gongewa, cjawah kuona mke wa mtu mgum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom