Kuna usalama hapa ndugu zangu?

Kuna usalama hapa ndugu zangu?

nawewe ulifuata nini kwenye simu ya mkeo? uliyataka mwenyewe yani unakuala jalalani then unataka ukapime kipindupindu? mambo mengine mnajitakia tu, kwa ufupi anagegedwa tena sana tu ndio maana wanawekeana mikakati ya jinsi ya ku ku fool.
Duh!! Majibu mengine yanakatisha tamaa
 
Maamuzi unayo wewe maana umeshajua unapigiwa,

1. Kuna wanao endelea na hayo mahusiano Kama hakijatokea kitu.
2. Kuna ambao mahusiano yanaishia hapo.

Note:
Mwanamke akichepuka huko akiwa anabanduliwa huwa anatumia staili ambazo hakupi wewe Maana utamuona hana nidhamu,

mfano
Ukitaka dogy style anaweza akagoma kukupa wewe akisingizia amechoka au anaumiaga ila akiwa na Baba naniii..
hatoi excuse yeye anatega mbususu inapigwa from the back.
Hehehehe
 
Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali.

Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe" "For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..

Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!

Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
No mpe fursa ya kujitetea,ili ujue ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom