Kuna ulazima wa kumridhisha kahaba?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,550
1,422
Kama tunavyoelewa kuwa kahaba ni mwanamke anaetoa huduma ya ngono kwa pesa ili kujiweka sawa kiuchumi au kimatumizi.Nafahamu zipo tafsiri nyingi na pana zaid juu ya neno kahaba.

Niende kwenye mada,kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza juu ya ulazima/uhalali/umuhimu wa kumlidhisha kingono kahaba wakati natoa pesa ndo nipate huduma yake?

Je nisahihi yeye kunambia hajalidhika wakati mimi tayari ambae ndo mtoa pesa?

Kwani nkiacha kumlidhisha kuna madhara gani kwangu wakati huduma yake naipata kwa pesa?
 
Kwani roma anasemaje?

Here it is what he says

Nanasi sio tango, kulila inahitaji mpango.../

Na ukiwa na mpango wa kando, haina maana mkeo hajui mambo.../

Ukitaka kumkomoa kahaba, utaipasua tu condom.../

Au utamchubua tu kimahaba, kisa nyagi na phantom.../

Na utajuta ukisha mwaga afu ye anavuta mpunga, wala hajali kama mpishi anayesonga ugali wa mfungwa.../
 
Ukiona mwanaume anauliza maswali ya namna hii mie naonaga hata mzuka wa kumsikiliza unakata...ni kama fisi anapewa nyama anauliza je na damu nilambe? Kazi ya fisi si kula nyama? Utaachqje kula nyama ukaitenganisha na damu?😏😏😏😏..nyie ndo mnakimbiwaga na wake zenyu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom