sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,372
Kakutana na wale wataalamu. Kwakweli hayajawahi kunikuta ila sijawahi elewa how do they do itNi ndugu yangu
Wanacheza na akili za muhusika tuKakutana na wale wataalamu. Kwakweli hayajawahi kunikuta ila sijawahi elewa how do they do it
Sitasahau 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽Pale mwenge mimi🥲🥲Ni ndugu yangu wa karibu naemwamini sana.
Hii story aloyonipa hainiingii aklini
We unaweza cheza na akili ya mtu mpaka aende atm atoe pesa yote akupe pasipo yeye kuwa na ufahamu?Wanacheza na akili za muhusika tu
Hakuna cha kukutana nao wala nini. Wanatumia ujanja wa kuteka watu kwa maneno tu. Huyo jamaa atakuwa kapigwa kweli ila ni yeye aliwapa hiyo simu na hizo fedha kwa tamaa kuwa fedha zinaongezeka, kumbe walibadilisha wakampa maboksi. Hilo la kutema nywele inawezekana kuna ujanja wanatumia na kuziweka kinywani mwake kiaina. Hakuna dawa wala nini.Kakutana na wale wataalamu. Kwakweli hayajawahi kunikuta ila sijawahi elewa how do they do it
Huo muda sina ila wale jamaa wanacheza na saikologia tu ya mtu,nimeishi Ubungo zaidi ya miaka 10...... wakati wa stend wengi walikuwa wanaibiwa Kwa kuzuzubaa zubaa tu kushangaa......maana ndiyo mara ya kwanza kuingia dsm.....hapo hapo ndiyo wanapigwa Kwa maneno tuWe unaweza cheza na akili ya mtu mpaka aende atm atoe pesa yote akupe pasipo yeye kuwa na ufahamu?
Si kawaida
Je wale wanaodai uwa hadi wanaenda atm wanatoa pesa yote wanawapa wengine hadi majumbani kwao halafu wakishaachana nao ufahamu ndo unawarudia.Hakuna cha kukutana nao wala nini. Wanatumia ujanja wa kuteka watu kwa maneno tu. Huyo jamaa atakuwa kapigwa kweli ila ni yeye aliwapa hiyo simu na hizo fedha kwa tamaa kuwa fedha zinaongezeka, kumbe walibadilisha wakampa maboksi. Hilo la kutema nywele inawezekana kuna ujanja wanatumia na kuziweka kinywani mwake kiaina. Hakuna dawa wala nini.
Hakuna kitu kama hicho. Kuna thread iko hapa juzi tumejadali sana kuhusu hili. Wengine wanadai kuna dawa inafanya mtu anatenda mambo bila free will ila hayo yote ni uvumi. Kungekuwa na dawa za aina hiyo kwanza wangepigwa wenye fedha ndefu tu na wasingehaika na vitu kama simu za techno na fedha za kutoa kwa simu. Na zaidi, wanawake wazuri wangepona? Si wangekuwa wanachukuliwa kama utani tu?We unaweza cheza na akili ya mtu mpaka aende atm atoe pesa yote akupe pasipo yeye kuwa na ufahamu?
Si kawaida
Mwaga mcheleSitasahau 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽Pale mwenge mimi🥲🥲
Naunga mkono bila ubishi wowote. Mimi watu wa aina hii nimekutana nao mara kadhaa na wakiona wewe ni mjanja wanakimbia haraka sana. Mbona hawajaweza ''kunipumbaza kiakili'' kwa dawa kama watu wanavyodai?Huo muda sina ila wale jamaa wanacheza na saikologia tu ya mtu,nimeishi Ubungo zaidi ya miaka 10...... wakati wa stend wengi walikuwa wanaibiwa Kwa kuzuzubaa zubaa tu kushangaa......maana ndiyo mara ya kwanza kuingia dsm.....hapo hapo ndiyo wanapigwa Kwa maneno tu
Ngoja nijeMwaga mchele
Hii ipo kabisa, una mzee mmoja mstaafu wa mtaani kwetu alipigwa, tena yeye alienda atm mbili tofauti kutoa mpunga.Je wale wanaodai uwa hadi wanaenda atm wanatoa pesa yote wanawapa wengine hadi majumbani kwao halafu wakishaachana nao ufahamu ndo unawarudia.
Wanaenda ATM kutoa kwa sababu wanakuwa wamedangwa kuwa watatengeneza hizo fedha ziongezeke wawe matajiri. Pia wanaambiwa watoe vitu vya thamani kama simu au vitu kutoka majumbani mwao ili dau liwe kubwa na utajiri uongezeke. Sharati kubwa la hao watu huwadanganya kuwa wasimwambie mtu yoyote na wakisema tu dawa haifanyi kazi. Wakishaachana ''ufahamu'' hurudi kwa sababu baada ya kusubiri au kufungua walichoaminishwa ni fedha nyingi na kukuta ni makaratasi ndiyo wanajua ukweli.Je wale wanaodai uwa hadi wanaenda atm wanatoa pesa yote wanawapa wengine hadi majumbani kwao halafu wakishaachana nao ufahamu ndo unawarudia.
alitema nywele na kufanya vitu bila hiariHii ipo asee, kuna dogo langu alipigwa kwa namna hii.