PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,175
- 45,524
Subaru forester XT 2009Forester gan eye sight au
SH 5
Subaru forester XT 2009Forester gan eye sight au
Forester iko vzr sana kwenye mafuta kama hauikimbizi sana, mm ninayo ya 2010Subaru forester XT 2009
SH 5
RPM ikifika kuanzia 2500-3000 hapo utalia jinsi mafuta yanavyoisha kwenye tank.Forester iko vzr sana kwenye mafuta kama hauikimbizi sana, mm ninayo ya 2010
😁😁😁 zina hitaji adabu sana japo kuna muda ni ngumu sana kumaintain rpm chini ya mbili. Yan ngoma inakuambia kabisa endelea kukanyaga nikupe maajabu. Forester aisee ni moto hiz engine zakeRPM ikifika kuanzia 2500-3000 hapo utalia jinsi mafuta yanavyoisha kwenye tank.
Mimi huwa naenda nayo taratibu Sana Hadi ichanganye yenyewe
Hahahaha 😂😂😂😂😂 Mzee unaonekana ni MTU wa kumwaga Sana Moto....mwaka Jana nilifanya safari ndefu Sana na forester aisee kwakweli hizi gari utapenda zikiwa safarini hasa hizi zenye turbo ndiyo balaa zaidi..😁😁😁 zina hitaji adabu sana japo kuna muda ni ngumu sana kumaintain rpm chini ya mbili. Yan ngoma inakuambia kabisa endelea kukanyaga nikupe maajabu. Forester aisee ni moto hiz engine zake
Siwezagi kua mnyonge road nikiwa na subaru. Ni mwendo wa ligi tu. Vijana wahame kwenye ma crown, wajarib na subaru wajioneeHahahaha 😂😂😂😂😂 Mzee unaonekana ni MTU wa kumwaga Sana Moto....mwaka Jana nilifanya safari ndefu Sana na forester aisee kwakweli hizi gari utapenda zikiwa safarini hasa hizi zenye turbo ndiyo balaa zaidi..
Kuna sehemu nilikuwa naovertake kama ingekuwa naendesha Toyota nisingeweza , Ila Subaru ni kama UMEME Tu inanifanya nijiamini Sana nikiwa barabarani
Aliyebuni hizi mashine nampa kongole sana