Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,083
Mara nyingi tumeona, tumeshuhudia au yametutokea sisi wenyewe, kuwa na mahusiano ya kimapenzi halafu mambo yako mengi yakanyooka na kuwa super au ikawa ni mikosi mwanzo mwisho. Huwa tunawasifia watu fulani kuwa wana kismati au tunawaponda kuwa wana kimavi. Kuna nguvu zinaendesha dunia na ni nguvu hizo hutuamulia tuwe na nani wapi na kwa wakati gani. Hizo nguvu zikiwa positive kwako utafaidi maisha lakini zikiwa negative kwako utajiona ni mtu wa mikosi nuksi na balaa, hebu chunguza mahusiano yako sasa na ya hapo awali utagundua mengi