mwenemti
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 309
- 59
Mapenzi ya siku hizi uwe na hela tu hayo mengine Mie naitaga imagination tu! Ukiwa na pesa kila kitu hua kinang'aa
mkuu tatizo sio hela, unaweza ukawa na hela lakini ukapata mtu ukajikuta unaanza kupotea kidogo kidogo mpaka mwisho wa siku unabaki hata mia hauna,baadae ukipata ambaye nyota zinu zinaenda utaona unaanza kuuza mihogo mara genge,duka,gari,nyumba, mwisho unalufi kwa mwanzo na kuwa pedesheee tena...