kwa mimi ni kweli pesa ni muhimu
kwa mimi ni kweli pesa ni muhimu
Mmh sitaki kuaminiPesa mbele kama tai?
unaweza ukawa na pesa mingi ila ukakosa upendo pesa kama mapepo...
Unaweza ukawa na pesa nyingi lakini unashindwa kukaa na mwenza wako sebuleni mkitoka kazini na kkunywa chai au juice pamoja. kila mmoja kivyake kama tumbili sorry tumbili ni mbunge. kama nyani. mimi bora nipate kiasi lakini niwe together forever na memsahib.
Maneno ya mkosaji hayo.Pesa mbele kama tai?
unaweza ukawa na pesa mingi ila ukakosa upendo pesa kama mapepo...