Kuna ukimya na utulivu

Nikiwa nakula mtori huwa sina haraka kwani naamini nyama nitazikuta chini
 
Kiongozi post zako zinaonesha unatamani sana msiba unaouhisi uwe ni kweli. Kuna uzuri gani katika hilo? Siku za mwanadam aliyezaliwa na mwanamke si nyingi nazo hujaa taabu. Sioni busara Katika kufurahia msiba wa mtu, uwe halisi ama wakufikirika kama ilivyo sasa. Uwe Rais ama raia wa kawaida, utakufa tu wakati ukifika.

May God wishes prevail
 
Naomba nitendee haki kwenye hili.. Tafadhali nioneshe post hata moja tu inayofurahia msiba wa yeyote yule....!!!!

Ni vema ukasoma kitu kwa tafakuri na kukielewa ...usisome ukiwa umeshaandaa majibu yako tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…