Kuna uhusiano wowote kati ya umasikini na matiti kulala?

Hakuna kitu najisikia vibaya kama matiti kuongelewa vibaya, wakati ni chakula cha mwanzo kabisa pale tunapovuta pumzi yetu duniani, tena nasikia watoto wakiume wananyonyaga kwa kudungua na kichwa kabisa.
 
Nasindikiza tu uzi
IMG_0034.jpg
 
Hapa sijaelewa je mtoa Mada kamaanisha matiti kupiga usingizi au ndala au kuanguka Kama nikuanguka yaananguka tu hata Kuna mtu anaishi vizuri tu Ila yameanguka Ila kuhusu kuwa ndala hapo ndo nahisi inaweza ugumu wa Maisha


Ila hii Mada imekaa kudhalilisha wanawake na wanawake wapo too immotionaly so tunawaumiza kihisia kwa namna moja hivi
 
Back
Top Bottom