Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?

Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?

hapo umenena Mwanazuoni..mnyongeni haki yake mpeni....kuna mambo EL,kayafanya lakini watu hawayaoni wanaona mabaya yake tu ndo msemo unasema ukitenda mazuri watu wanayasau mabaya tu ndio wanayakumbuka..
Hatuyaoni mazuri kwa sababu (kama yapo) basi yapo katikati ya lundo kubwa (jalala) la mabaya kiasi hayaonekani! Pamoja na kuwa kila mtu ana haki ya kuongea lakini EL hana hadhi ya kuongelea uchapakazi wa mpendwa wetu Sokoine. Kama alijua uchapakazi na uadilifu wa Sokoine kwa nini hakuuiga.

EL mchafu mchafu tu. Si kwamba Sokoine katika utendaji wake hakufanya makosa, La hasha, kama binadamu makosa ya kiutendaji huwa yapo lakini yalitokea katika maamuzi yaliyokuwa na nia ya kuwafaa wananchi siyo kuwafisadi. EL alikuwa anafanya maamuzi yenye kumnufaisha yeye na kundi lake la kifisadi hakuwa na uchungu na wananchi huyu.
 
matawi, tukimchukia kiongozi, tumchukie kwa mabaya/ufisadi wake lakini tusiwe na chuki binafsi dhidi yake. Kwa vile EL kachafuka na uchafu wa Richmonduli, sasa ndio imekuwa nongwa?!. Asifanye chochote kwavile ni mchafu hivyo atachafua?!.

Japo mimi sio mtetezi wa EL, ukimuondoa Sokoine, hatujawahi kumpata waziri mkuu mwingine yoyote anayemkaribia hata kwa mbali, lakini kati ya wote, angalau angalau ni EL tuu, sasa ulitaka nani amzungumzie Moringe?!.

Mambo ya EL siku zote nasisitiza 'Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni'!.

Baadhi ya watu wana chuki binafsi na Lowasa, nashangaa kuwa wanakumbuka mabaya tu huku ni kukosa shukrani, Lowasa ni mwanadamu, kama amekosea anauwezo wa kujisahihisha maana hakuna mwanadamu asiyekosea, hata hivyo ukiondoa hili la Richmond kabla ya hapo kila mtu alikuwa anamsifia. Tatizo la watanzania wengi ni roho mbaya na wivu. Lowasa alipojiuzulu nilitegemea afikishwe mahakamani kama anakesi ya kujibu, mpaka leo sio msabaha, karamagi wala Lowasa, hii inaashiria kuwa hawana kosa la kujibu, na kama Lipo hao wanaowalinda ndiyo wanaopaswa kubebeshwa lawana na kuandamwa.
 
Jamani ikumbukwe kwamba hayat sokoine alitokea monduli jimbo ambalo liko under El control so mi sion ubaya el akielezea yote alyoyafanya Sokoine... Najua anatoa historia ya EMS huku yeye mwenyewe akijijua moyoni kama he is not clean kama alvyokuwa Sokoine.,
 
matawi, tukimchukia kiongozi, tumchukie kwa mabaya/ufisadi wake lakini tusiwe na chuki binafsi dhidi yake. Kwa vile EL kachafuka na uchafu wa Richmonduli, sasa ndio imekuwa nongwa?!. Asifanye chochote kwavile ni mchafu hivyo atachafua?!.

Japo mimi sio mtetezi wa EL, ukimuondoa Sokoine, hatujawahi kumpata waziri mkuu mwingine yoyote anayemkaribia hata kwa mbali, lakini kati ya wote, angalau angalau ni EL tuu, sasa ulitaka nani amzungumzie Moringe?!.

Mambo ya EL siku zote nasisitiza 'Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni'!.

The questions here were "Is EL the right person to open his mouth to speak about Moringe? Has he got the Moral base to speak about a 'socialist' like Sokoine?" If the answers are NO then Mtoa hoja ana NENO ambalo wewe hukuliona.
 
sikubaliani na wewe hata kidogo ,maana huo uzoefu wake wakufanya kazi na huyo marehemu unafaida kwake na familia yake tu na ndio unao tusababishia halingumu ya maisha tulio nayo sasa watanznia. hivyo asubuii hii natangaza kuwa uzoefu wa El ni batili kwa kizazi chet na hatuhitaji kuusikia TBC1.
 
Nadhani mkuu hapo umeghafilika kidogo....sidhani kama kuna tatizo EL kuwepo kwenye lile tangazo,ili mradi alikuwepo pindi Hayati Sokoine akifanya kazi ana haki ya kutupatia kizazi chetu uzoefu mdogo wa hayati Sokoine....

Tusifike mbali kiasi hicho hadi kufikia kuwa kama wewe ni fisadi basi huna haki ya kumtaja au kutaja jina la Baba wa Taifa,Sokoine,Kawawa nk...
sikubaliani na wewe hata kidogo ,maana huo uzoefu wake wakufanya kazi na huyo marehemu unafaida kwake na familia yake tu na ndio unao tusababishia halingumu ya maisha tulio nayo sasa watanznia. hivyo asubuii hii natangaza kuwa uzoefu wa El ni batili kwa kizazi chet na hatuhitaji kuusikia TBC1.
 
Comments zingetolewa na mwadilifu mwingine kama mwalimu, mangula etc nina uhakika tangazo lingekuwa na uzito wake. Ukweli ni kwamba EL anajua wana tofauti kubwa sana na Sokoine . Tunaposema tunamuenzi mtu basi tuhakikishe na matendo yetu yanafana. EL anamuenzi vipi Moringe?
 
Afanye afanyavyo....akijitahidi sana ataishia kuwa mgombea wa Urais wa CCM.....NAONA WENGINE MNAKAZANIA ati anautafuta Urais...ukweli ni anautafuta ugombea Urais...
 
Binafsi sioni kama ni sahihi. Labda kwa kuwa ni mbunge wa monduli. Je, ikifika siku ya Kawawa na Mwalimu watafanya hivyo hivyo? Au kanunua ama ni tangazo lake mwenyewe la kujifagilia Ikulu? Tamaa hiyo. Kitendo cha yeye kuwa kwenye magazeti kila siku kinatufanya tumkumbuke kwa ufisadi mkubwa aliotutendea watanzania na kumwona kuwa anatuchefua. Ushauri; ATULIE tu.
 
EL anajariubu kujihusisha na ishu zinazi gusa interest ya wengi ili kurudisha hadhi yake iliyopotea but sidhani kama ni rahisi hivyo
 
The questions here were "Is EL the right person to open his mouth to speak about Moringe? Has he got the Moral base to speak about a 'socialist' like Sokoine?" If the answers are NO then Mtoa hoja ana NENO ambalo wewe hukuliona.
IPECACUANHA, ukizungumzia moral base ya ideology ya Ujamaa, nani basi anaweza hata kumzungumzia Nyerere, kwenye hoja za ideology ya socialism, CCM imeoza top-botom, Azimio la Zanzibar, limezika kila kitu. Kwa vile CCM imeua Ujamaa, hii inamaana wajamaa kama kina Kadamu ndio wasimsifie Nyerere kwa vile wameuua ujamaa?.

Hakuna ubishi kuhusu msimamo wa Sokoine, bado nakuhakikishia waliofanya naye kazi, EL ndie the best of the wost we have wa mfano wake!. Kama unaye unayemjua mwenye hiyo better base than EL, mtaje tumjue na kumpima kwa ujamaa wake!.
 
Jamani mbona kero.. hivi hakuna msamaha duniani? hivi matawi are u clean enough to God na watu wako wa karibu? Kama alikosea basi asifanye lolote. Yesu aliwaambia wale walotaka kumrushia mawe mwanamke mzinzi yule anayejiona safi awe wa kwanza kumtupia mawe, no one dare kumrushia mawe yule mama. Kazana uingie kwenye system ubadilishe na ufanye yaliyo mema God will rewards u, sio kulalamika tu, mapandwa na hasira mimi.
 
Here we are Pasco, tumebakia na chuki binafsi.
 
Jamani mbona kero.. hivi hakuna msamaha duniani? hivi matawi are u clean enough to God na watu wako wa karibu? Kama alikosea basi asifanye lolote. Yesu aliwaambia wale walotaka kumrushia mawe mwanamke mzinzi yule anayejiona safi awe wa kwanza kumtupia mawe, no one dare kumrushia mawe yule mama. Kazana uingie kwenye system ubadilishe na ufanye yaliyo mema God will rewards u, sio kulalamika tu, mapandwa na hasira mimi.
sasa wewe unasema tumsamehe huyo fisadi wakati sisi hiyo serikali yao haitusamehei na huo mfumuko wa bei za vitu ambazo hutujui hizo hela zinaenda wapi , msitulazimishe tupede watu waovu
 
tbc inaporusha matangao yake. LOWASA kila dakika huonyeshwa. sio kama anachangia . bali amekaa. tofauti na wabunge wengine. jee ndio first choice ya tbc?
 
tbc inaporusha matangao yake. LOWASA kila dakika huonyeshwa. sio kama anachangia . bali amekaa. tofauti na wabunge wengine. jee ndio first choice ya tbc?

Baba usishangae. Huyu bwana mkubwa na mradi wake wa 2015 umewalevya wengi mpaka wanatamani hata wamuonyeshe wakati anapokwenda kulala. Lakini maskini urais haupatikani hivyo!
 
Operation 2015 hiyo. hivi anafikiri watz watampa kura kabisaaaaa. labda atawale watz wote wakiwa maiti
 
mi nafikiri kila mtuu ana uhuru wa kuonyeshwa na tbc as far as ni televisheni ya taifa na chombo cha serikali. Kwa hiyo kwa lowassa kuonyeshwa sio big deal kwa sababu hakuna kilichoharibika ktk mambo mengine ya nchi.
 
Hiyo TBC ishachukuliwa na mafisadi so wanajaribu kumpamba ili agombee urais come 2015 ndo ulivyokuwa mkakati wa wanamtandao na tume ya Mwakyembe ikaharibu kila kitu so wanajaribu kumrudisha taratibu. waache tu iko siku watajiunga nasi katika kuikomboa Tanganyika yetu!
 
Back
Top Bottom