Mkuu, sijui kama umemsaidia mtoa mada. ZBC ni shirika la utangazaji la Zanzibar la serikali hivyo inatakiwa wafanyakazi na ofisi zake ziwe za serikali ila inavyoonekana utangazaji wa ZBC2 hasa michezo ni kama upo Azam TV!Mmiliki ni mzenji pia usisahau kaja huku bara kutafuta soko lakini akili na roho yake yote viko kisiwani.
Nasikia ile zbc 2 ,ni ya mzee ssb,ingawa inapitia azam media,maelezo zaidiMkuu, sijui kama umemsaidia mtoa mada. ZBC ni shirika la utangazaji la Zanzibar la serikali hivo inatakiwa wafanyakazi na ofisi zake ziwe za serikali ila inavoonekana utangazaji wa ZBC2 hasa michezo ni kama upo Azam TV!
Zanzibar ndio kati ya nchi za mwanzo kuwa na tv ya rangi Afrika.Hivi ni kweli kwa east africa smz ndiyo wa kwanza kuwa na tv station?
Kwa vipi anatumia jina la shirika la utangazaji la serikali? Ni haki kufanya hivo?Nasikia ile zbc 2 ,ni ya mzee ssb,ingawa inapitia azam media,maelezo zaidi
AiseeeZbc2 ina milikiwa na Bakhressa.
Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.
Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.
Jamaa we ni mbaguzi...unastahili kuogobwa kama ukomaMmiliki ni mzenji pia usisahau kaja huku bara kutafuta soko lakini akili na roho yake yote viko kisiwani.
Vipi TBC na Azam Two wanapojiunga hapa, hili unaliongeleaje?Watu kama nyinyi nchi nyingine mnahukumiwa kunyongwaMmiliki ni mzenji pia usisahau kaja huku bara kutafuta soko lakini akili na roho yake yote viko kisiwani.
Zbc2 ina milikiwa na Bakhressa.
Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.
Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.
Zbc2 ina milikiwa na Bakhressa.
Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.
Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.
Hapo nimekuelewa maana kuna mwingiliano mwingi!!!! Azam wanatangaza tutaonyesha mechi Fulani kupitia ZBC 2??? Najuiliza how come???Zbc2 ina milikiwa na Bakhressa.
Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.
Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.
Utasikia Azam 2 wanatangaza Tutaonyesha mechi Fulani hapa hapa Azam kupitia ZBC 2 ...Najiuliza how come watangaze hivyo?Mkuu, sijui kama umemsaidia mtoa mada. ZBC ni shirika la utangazaji la Zanzibar la serikali hivo inatakiwa wafanyakazi na ofisi zake ziwe za serikali ila inavoonekana utangazaji wa ZBC2 hasa michezo ni kama upo Azam TV!
nimekuwa mfuatiliaji wa vipindi hasa kwenye channel za Azam 1,2 & HD ila kuna ufanano kati ya hizi channel na ZBC 2. hasa kwenye uwekaji wa ratiba za vipindi (EPG).
pia ZBC2 kutangazwa Azam japokuwa ZBC2 inamilikiwa na serikali UA Znz.
Anataka iwe free chanel kama TBC, maana ni ya serikaliWe enjoy tuliaa...maswali mengi ya nini? Wa bongo bhana