Kuna uhusiano gani kati ya Azam Media na ZBC 2

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,573
Nimekuwa mfuatiliaji wa vipindi hasa kwenye channel za Azam 1, 2 & HD ila kuna ufanano kati ya hizi channel na ZBC 2. Hasa kwenye uwekaji wa ratiba za vipindi (EPG).

Pia ZBC2 kutangazwa Azam japokuwa ZBC2 inamilikiwa na serikali ya Znz. Kabla ya kuanza kwa Euro walitangaza kuwa wataonyesha kupitia ZBC 2, swali ni kwanini wasingeonyesha kupitia Azam HD ambayo inaonyesha marudio ya LA Liga???
 
Mkuu, sijui kama umemsaidia mtoa mada. ZBC ni shirika la utangazaji la Zanzibar la serikali hivo inatakiwa wafanyakazi na ofisi zake ziwe za serikali ila inavoonekana utangazaji wa ZBC2 hasa michezo ni kama upo Azam TV!
Nasikia ile zbc 2 ,ni ya mzee ssb,ingawa inapitia azam media,maelezo zaidi
 
Hata game ya Yanga waliipeleka ZBC2 na game nyingine kibao hupita huko! Naona ssb ndiyo mmiliki or ndo mfadhili wa miundo mbinu kwa makubaliano ya kupewa hiyo channel na kuwaachia smz ZBC pekee
 
Zbc2 ina milikiwa na Bakhressa.

Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.

Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.
 
Aiseee
 
Hapo nimekuelewa maana kuna mwingiliano mwingi!!!! Azam wanatangaza tutaonyesha mechi Fulani kupitia ZBC 2??? Najuiliza how come???
 
Mkuu, sijui kama umemsaidia mtoa mada. ZBC ni shirika la utangazaji la Zanzibar la serikali hivo inatakiwa wafanyakazi na ofisi zake ziwe za serikali ila inavoonekana utangazaji wa ZBC2 hasa michezo ni kama upo Azam TV!
Utasikia Azam 2 wanatangaza Tutaonyesha mechi Fulani hapa hapa Azam kupitia ZBC 2 ...Najiuliza how come watangaze hivyo?
 
nimekuwa mfuatiliaji wa vipindi hasa kwenye channel za Azam 1,2 & HD ila kuna ufanano kati ya hizi channel na ZBC 2. hasa kwenye uwekaji wa ratiba za vipindi (EPG).
pia ZBC2 kutangazwa Azam japokuwa ZBC2 inamilikiwa na serikali UA Znz.

Jikite tu kushughulisha " mijicho " yako katika kuwakodolea akina Messi na Ronaldo na yanayobaki waachie TCRA wenyewe!
 
Ukifuatilia kwa umakini hawa wawili wanashabihiana kwa mambo mengi na mission yao huenda ni moja!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom