BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,794
- 6,669
Yele yanayo tokea Kilimanjaro Airport na kule Ngorongoro ni trela tu, full Move inakuja na kuna kulia na kuswaga meno mwaka 2026.
Kinacho ngojwa kwa sasa ni uchaguzi upite kwanza kabla ya move kuanza.
Maeneo yafuatayo watu watalia sana.
1. Longido kupisha MWarabu.Poli la Longido anapewa Mwarabu na kuna masai wanapaswa kuhamishwa kwa nguvu.
2. Simanjiro, hii itamegwa kuna mwekezaji kutoka Ufaransa atapewa afanye utalii wa uwindsji.
3. Sehemu ya Monduli inayo pakana na Hifadhi ya Tarangine,hapa kuna wamasai wataondolewa apewe Mwarabu.
4. Sehemu ya Wilaya ya Siha inayo pakana Poli la Longido na Hifadhi ya Amboseli Kenya, hapa pia Masai watafurushwa mbaya.
5. Kuna Vijiji jilani na hifadhi ya Serengeti, hapa wanapewa Wazungu pia. Raia hapo wajindae kulia kilio kikuu.
6. Maswa game reserve kuna vijiji Wasukuma watalia sana, hapo anapewa MZungu pia.
Kuna data sijazipata kamil kutoka Same na MWanga, huko pia Wapare wakae mguu sawa baadhi ya maeneo.
Wilaya Bunda pia, jirani na Serengeti, kuna raia watalia kilio kikuu.
Uchaguzi ndio unao subiliwa upite.