Hi iron lady,Heaven on Earth, Ole Saidimu na wana MMU wote, habari za weakend! Kuna mdada nimefahamiana naye ktk harakati za kupambana na maisha, binti ni mzuri kweli kwa sura, mrefu,maji ya kunde, ameweka nywele za kuwa fupi/amenyoa, ni mcheshi kwa kweli, hatimaye tumezoeana sana ila ana mimba ya miezi 6, nimemuliza kuwa mimba ya nani akasema kwa kweli yupo ila kakataa katu katu kwani alipata mimba na mkaka ambaye hakuzoeana nae kabisa kimahusiano(emergence), hvyo yupo single kwa sasa na anatamani sana niwe nampa kampani nyumbani kwakwe. Je, kuna ubaya nikienda kumkapani kwa kila kitu atakachotaka nyumbani kwake?
You're responsible for the design of your own life