Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 10,656
- 21,083
Akijiombea mwenyewe Mungu hamsikii? Mungu gani huyo mnaemuabudu mwenye masharti hivi?
Aidha hakuna cha kamba wala mnyororo ni yeye mwenyewe tu na mawazo yake potofu. Kila mtu anaefeli akisema amerogwa basi dunia nzima tumewahi kurogwa.
Aidha hakuna cha kamba wala mnyororo ni yeye mwenyewe tu na mawazo yake potofu. Kila mtu anaefeli akisema amerogwa basi dunia nzima tumewahi kurogwa.
Nakushauri nenda ukaombewe ufunguliwe hizo kamba, nenda Kanisa la KKKT kijitonyama muone Mchungaji Kimaro au Engineer GoodLuck Mushi wa Kijitonyama watukusaidia sana na tatizo litakwisha