Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Membe hajafukuzwa kwa sababu ya kuleta upinzani ndani ya CCM kwenye Uraisi, bali kafukuzwa sababu ya sabotage na snitching, wana infos nyingi kuhusu yeye kwamba ana undermine nchi yetu, hiyo ndiyo sababu pekee kwa maoni yangu, ikumbukwe kwamba Membe amekaa Mambo ya nje kwa miaka 10 hivyo anajua mengi hata siajabu aliokuwa anatoa michongo kwa foreign agents na ndege yetu kukamatwa ni yeye Membe, ...