Kuna tofauti gani kati ya wale na huyu?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,001
112,635
Hatimaye siku ya siku imetimia.

CCM wamemtimua Bernard Membe.

Sababu ambayo inazungumziwa na wajuvi wa mambo ya kisiasa na siasa za Tanzania ni kwamba katimuliwa ili ashindwe kugombea uteuzi wa kuwa mgombea nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi hapo baadaye mwaka huu kwenye Uchaguzi Mkuu.

Kama angegombea uteuzi huo, basi kitendo hicho kingeandika sura mpya katika siasa za CCM kwani sikumbuki kabisa kama imewahi kutokea huko nyuma Rais kutoka CCM kupata ushindani toka ndani ya chama chake wakati wa kugombea muhula wa pili.

Kitendo hiki cha leo kimenikumbusha yaliyotokea miaka michache iliyopita katika CHADEMA.

CHADEMA waliwafukuza Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, na Samson Mwigamba kwa kile kilichodaiwa kuwa walikuwa wanasuka njama za kumuondoa Mwenyekiti wao, Bw. Freeman Mbowe.

Sasa kama hivyo ndivyo ilivyokuwa, kimsingi, kuna tofauti gani na walichokifanya CCM leo?

Sioni kilicho tofauti. Nyie mnaona?

NB: Naweza nikakosea, lakini sidhani kama Membe atadumu sana kuwa nje ya CCM. Ni suala la muda tu.

I see them kissing and making up at some point....
 
Nyani Ngabu, Membe hawezi kwenda upinzani. Membe alikuwa anajijenga kuelekea 2025. Sema tatizo la jiwe hajiamini lkn ukweli hakuna mtu akiwemo membe ambaye angempinga mwaka huu 2020. Membe atarejea ccm km ccm itabaki maana nna wasiwasi ccm ikamfia mkononi jiwe. Watu anaofanya nao kazi jiwe wote hawaaminiki. Kwenye safu yake yote watu pekee watiifu kwake ni H.polepole,benson bana na gerson msigwa wengine wote ni nidhamu ya woga tu na hawa ndo wanakuja kumuumbua jiwe,
 
Hatimaye siku ya siku imetimia.

CCM wamemtimua Bernard Membe.

Sababu ambayo inazungumziwa na wajuvi wa mambo ya kisiasa na siasa za Tanzania ni kwamba katimuliwa ili ashindwe kugombea uteuzi wa kuwa mgombea nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi hapo baadaye mwaka huu kwenye Uchaguzi Mkuu.

Kama angegombea uteuzi huo, basi kitendo hicho kingeandika sura mpya katika siasa za CCM kwani sikumbuki kabisa kama imewahi kutokea huko nyuma Rais kutoka CCM kupata ushindani toka ndani ya chama chake wakati wa kugombea muhula wa pili.

Kitendo hiki cha leo kimenikumbusha yaliyotokea miaka michache iliyopita katika CHADEMA.

CHADEMA waliwafukuza Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, na Samson Mwigamba kwa kile kilichodaiwa kuwa walikuwa wanasuka njama za kumuondoa Mwenyekiti wao, Bw. Freeman Mbowe.

Sasa kama hivyo ndivyo ilivyokuwa, kimsingi, kuna tofauti gani na walichokifanya CCM leo?

Sioni kilicho tofauti. Nyie mnaona?

NB: Naweza nikakosea, lakini sidhani kama Membe atadumu sana kuwa nje ya CCM. Ni suala la muda tu.

I see them kissing and making up at some point....
Usipotumia makosa kupata uzoefu utakuwa wa kukosea maisha yako yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
They were leading a group to fabricate wrong doings and get members particularly in the CC to revolt! Hawakuchukua fomu za kugombea uenyekiti/kuonyesha nia wakafukuzwa kama membe alivyotia nia leo wakamtimua

Membe alichukua fomu lini?
 
Hatimaye siku ya siku imetimia.

CCM wamemtimua Bernard Membe.

Sababu ambayo inazungumziwa na wajuvi wa mambo ya kisiasa na siasa za Tanzania ni kwamba katimuliwa ili ashindwe kugombea uteuzi wa kuwa mgombea nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi hapo baadaye mwaka huu kwenye Uchaguzi Mkuu.

Kama angegombea uteuzi huo, basi kitendo hicho kingeandika sura mpya katika siasa za CCM kwani sikumbuki kabisa kama imewahi kutokea huko nyuma Rais kutoka CCM kupata ushindani toka ndani ya chama chake wakati wa kugombea muhula wa pili.

Kitendo hiki cha leo kimenikumbusha yaliyotokea miaka michache iliyopita katika CHADEMA.

CHADEMA waliwafukuza Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, na Samson Mwigamba kwa kile kilichodaiwa kuwa walikuwa wanasuka njama za kumuondoa Mwenyekiti wao, Bw. Freeman Mbowe.

Sasa kama hivyo ndivyo ilivyokuwa, kimsingi, kuna tofauti gani na walichokifanya CCM leo?

Sioni kilicho tofauti. Nyie mnaona?

NB: Naweza nikakosea, lakini sidhani kama Membe atadumu sana kuwa nje ya CCM. Ni suala la muda tu.

I see them kissing and making up at some point....

SI unit ya ccm ni cdm? Na sio ww tu, karibia watetezi wote wa ccm huwa mnafanya reference ya cdm ili kuhalalisha udhaifu wa ccm. Hiyo inadhihirisha cdm ndio chama halisi cha siasa na ndio chenye mvuto kwa wananchi.
 
Hatimaye siku ya siku imetimia.

CCM wamemtimua Bernard Membe.

Sababu ambayo inazungumziwa na wajuvi wa mambo ya kisiasa na siasa za Tanzania ni kwamba katimuliwa ili ashindwe kugombea uteuzi wa kuwa mgombea nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi hapo baadaye mwaka huu kwenye Uchaguzi Mkuu.

Kama angegombea uteuzi huo, basi kitendo hicho kingeandika sura mpya katika siasa za CCM kwani sikumbuki kabisa kama imewahi kutokea huko nyuma Rais kutoka CCM kupata ushindani toka ndani ya chama chake wakati wa kugombea muhula wa pili.

Kitendo hiki cha leo kimenikumbusha yaliyotokea miaka michache iliyopita katika CHADEMA.

CHADEMA waliwafukuza Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, na Samson Mwigamba kwa kile kilichodaiwa kuwa walikuwa wanasuka njama za kumuondoa Mwenyekiti wao, Bw. Freeman Mbowe.

Sasa kama hivyo ndivyo ilivyokuwa, kimsingi, kuna tofauti gani na walichokifanya CCM leo?

Sioni kilicho tofauti. Nyie mnaona?

NB: Naweza nikakosea, lakini sidhani kama Membe atadumu sana kuwa nje ya CCM. Ni suala la muda tu.

I see them kissing and making up at some point....
Tofauti ipo Zitto na wale wahaini wenzie walitaka " kumpindua" mwenyekiti Mbowe.

Ndio maana walijipa majina ya bandia katika mawasiliano yao!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom