The twins na biashara ya PC

Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
4,829
6,376
Nimekuwa nikiwaona wanajitangaza tiktok kwamba wanauza pc kwa bei rahisi.

Kinachonishangaza ni namna ambavyo wanatoa offers mbalimbali kwa mteja anayenunua pc kwao.

Wanadai kuwa ukinunua pc unapewa zawadi kama Ipad na smartwatch bure.

Hivi ni kweli hizo bei wanazotangaza ndizo wanazouzia hizo pc?

Ni kweli kuwa wanatoa hizo offer wanazotangaza?

Waliowahi kupata huduma hapo pamba house mtujuze maanake bongo ni bungua kichwa. Ukienda speed utarudi na kilio.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom