Joweba
Senior Member
- Aug 13, 2015
- 166
- 87
habari za muda huu wana jamvi, wakuu naombeni mnidadavulie kidogo tofauti ilyopo kati ya Binadamu na Mwanadamu make hapa nilipo kumetokea mvutano kidogo wa watu upande mmoja ukiwa unasema yake na mwingine yake, ndo nkaona niwalete ninyi wataalam wa hizi mambo, karibuni tafadhali.