Joweba
Senior Member
- Aug 13, 2015
- 166
- 87
- Thread starter
- #21
daaah! Mwanadamu ni matendo tena!!? kwaiyo wewe kama Zamiluni Zamiluni ni matendo/hulka ya Zamiluni?kama vile Mlimwengu na Walimwengu..
BinAdam ni mtu alotokana na umbile la ADAM...
MwanAdamu ni matendo/hulka ya huyo/hao/yao mtu/watu !!
Lakini yote yanakusudia Mtu!!