Kuna tatizo kubwa sana IKULU

Kuna tatizo kubwa sana IKULU

Hivi kwannn nchi nzima tusiandamane kwa yanayoendelea?

Nina uhakika kitendo cha kuhamia Dodoma kitasababisha umaskini nchini sababu matataizo ya msingi jhayatatatuliwa bado focus itakua kuhama tu.

Jamani huyu mtu afungiwe speed governor; huyu baba anatupeleka pabaya pabaya mno jamani umaskini utaisha lini?
kwa sasa hivi mimi habari za kuandamana mtu hanidanganyi nina familia na watoto wawili bado hawajakua wananiangalia mimi wazazi wangu nao naona nguvu zinawaendea ukingoni punde tu tegemeo lao ntakuwa mimi sasa hata huo muda wa kuwaza nikaandamane nautoa wapi?
 
Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.

Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.

Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?

Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?

Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?

Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo? Unahamia Dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakaohamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo Wizara? Wanajua idadi ya hao watakaohamia Dodoma?

Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa.

Swali linakuja: Kwa bajeti ipi?

Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.

Zoezi la kuhamia Dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi Septemba wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.

Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'Wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?

Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?

Binafsi, nadhani Rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?

Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?

Kuna tatizo Ikulu.

hawawezi kumshauri kwa vile.....

1) 60% ni opportunists, so wanaogopa kutumbuliwa

2) 30% ni wanaotaka aharibu halafu aonekane hafai. hawa ni wa ule mtandao wanaoutaka urais 2020

3) 10% ni TeamLowassa
 
Wizara zitahama lakin ikulu kuhamia Dodoma *HAIWEZEKANI*
Changamoto kubwa nayoiona ni suala la ulinz na usalama,Landlocked countries znataman sana uwepo wa bahari ktk nchi zao, lkn sisi tunataka tupuuze hilo.Dodoma itabaki ikulu ndogo tu lkn main campus ni magogoni
Na wewe una - yako
 
Kwa hili la kuhamia Dodoma hakuna namna inabidi tufunge mkanda serikali ihamie mji mkuu. Kila siku itakua ni sababu tu zisizo na msingi mwishowe mji mkuu utabia jina tu. Gharama ya kuhama ni kubwa,cha msingi ni mipango tu ya jinsi ya kuhamia.
 
Utahamia tu km hutaki acha kazi mmezoea kubembelezwa bembelezwa hapa kazi tu
Wahame hata wakisema wataibadili udom kua ofisi za wizara sawa tu
Ila hilo la kuuza majengo ya dar,!!! Sitounga hata kidole changu kama sio mkono wangu
 
hawawezi kumshauri kwa vile.....

1) 60% ni opportunists, so wanaogopa kutumbuliwa

2) 30% ni wanaotaka aharibu halafu aonekane hafai. hawa ni wa ule mtandao wanaoutaka urais 2020

3) 10% ni TeamLowassa

Kwahiyo timu nzima haifai.
 
kwa sasa hivi mimi habari za kuandamana mtu hanidanganyi nina familia na watoto wawili bado hawajakua wananiangalia mimi wazazi wangu nao naona nguvu zinawaendea ukingoni punde tu tegemeo lao ntakuwa mimi sasa hata huo muda wa kuwaza nikaandamane nautoa wapi?
Kwa hili nakupongeza kujitambua


Mimi siandamani hata uje na shoka
Navoyachukia maandamano hata ya kanisani tu hua siandamani na hata aseme raisi mwenyewe kuwa tuandamane kuipinga serikali yake mi siandamani
Nitakapopoteza uhai wangu na familia yangu ikaadhirika dhambi itakua juu yangu
 
hawawezi kumshauri kwa vile.....

1) 60% ni opportunists, so wanaogopa kutumbuliwa

2) 30% ni wanaotaka aharibu halafu aonekane hafai. hawa ni wa ule mtandao wanaoutaka urais 2020

3) 10% ni TeamLowassa
Kama kuna ka ukweli hivi ndani yake
 
Nieanza kuamini kwanini Rais mstaafu Benjamin Mkapa hutoba zake alikuwa anasoma neno kwa neno.
 
Kwa hili la kuhamia Dodoma hakuna namna inabidi tufunge mkanda serikali ihamie mji mkuu. Kila siku itakua ni sababu tu zisizo na msingi mwishowe mji mkuu utabia jina tu. Gharama ya kuhama ni kubwa,cha msingi ni mipango tu ya jinsi ya kuhamia.

Wengi hawapingi kuhamia Dodoma, chamsingi hakuna mipango na jinsi ya kuhamia, ndio maana Mkuu WA mkoa kasimamisha zoezi hili.
 
Kwa hili nakupongeza kujitambua


Mimi siandamani hata uje na shoka
Navoyachukia maandamano hata ya kanisani tu hua siandamani na hata aseme raisi mwenyewe kuwa tuandamane kuipinga serikali yake mi siandamani
Nitakapopoteza uhai wangu na familia yangu ikaadhirika dhambi itakua juu yangu
tuandamane kumpongeza rais shujaa tutaambulia teuzi
 
Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.

Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.

Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?

Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?

Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?

Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo? Unahamia Dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakaohamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo Wizara? Wanajua idadi ya hao watakaohamia Dodoma?

Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa.

Swali linakuja: Kwa bajeti ipi?

Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.

Zoezi la kuhamia Dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi Septemba wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.

Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'Wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?

Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?

Binafsi, nadhani Rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?

Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?

Kuna tatizo Ikulu.
kam mnataka kumjua vizuri magu ,muulizeni mama jesca ana hisoria nzuri sana
 
Kwa hili nakupongeza kujitambua


Mimi siandamani hata uje na shoka
Navoyachukia maandamano hata ya kanisani tu hua siandamani na hata aseme raisi mwenyewe kuwa tuandamane kuipinga serikali yake mi siandamani
Nitakapopoteza uhai wangu na familia yangu ikaadhirika dhambi itakua juu yangu
Mambo ya kwenda kuandamana tuwaachie wasio na majukumu/shughuli za kufanya.
 
Back
Top Bottom