balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,880
- 13,937
Failing is not happening hapazardly rather is the previous mistake of plan-lessMkuu ulikuwa na maana gani? Au Mimi ndiyo nimeshindwa kukuelewa?

Kwahiyo unataka kutuaminisha Daslam ni potential sana kuliko mikoa mingine ya +255??Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.
Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.
Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?
Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?
Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?
Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo? Unahamia Dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakaohamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo Wizara? Wanajua idadi ya hao watakaohamia Dodoma?
Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa.
Swali linakuja: Kwa bajeti ipi?
Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.
Zoezi la kuhamia Dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi Septemba wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.
Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'Wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?
Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?
Binafsi, nadhani Rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?
Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?
Kuna tatizo Ikulu.
Mkuu, nashukuru tuna mawaza yanafanana maana kuna mahali nimesema kuna tatizo nchini na watu wanaweza kukataa lakini ukweli kuna tatizo!Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.

Siyo lazima serikali iwe Dar es Salaam. Hivyo kuhamia Dodoma ni sahihi tu. Wala jambo hilo halitaathiri jiji la Dar kwa kuwa bado litaendelea kukua kibiashara. La msingi hapa ni nini kifanywe ili Dodoma ikidhi mahitaji ya Mji Mkuu wa Taifa letu wakati kazi hiyo ilidharauliwa kwa miaka 30Labda niulize swali dogo tu. Serikali ikitoka dar hiyo potential itatoka wapi? It will only be a useless, big shopping mall lisilo na maana.
Wamesema ni kwa vijana, na badhani ni wale waliojichoka na wanatamani kufa lakini aina ya kifo sasa hii ndio wansona itakua ya ingalau kukumbukwaMambo ya kwenda kuandamana tuwaachie wasio na majukumu/shughuli za kufanya.
Yaweke wazi mkuuNa wewe una - yako
Na viwanda je? labda vya kuletewaKwa hali hii salary itaongezeka kweli
Dar itakuwa mombasa na Dodoma itakuwa Nairobi..
Ila tusifie kulipukalipuka, eti ndio uthubutu. Unanipa wasiwasi.Kwahiyo unataka kutuaminisha Daslam ni potential sana kuliko mikoa mingine ya +255??
We kweli unataka kuwa mtumwa wa mawazo yako mwenyewe..
Kilichoifanya Daslam potential kwanini kisiifanye Dom, MZ, AR, Kili, MT, MBY, RKW, SHY, SNGW, MR, TA, PWN, na kwingineko potential??
Anachokosea JPM kitu gani??
Kuwa na uthubutu??
Haya mambo ya kuendekeza michakato, taratibu, upembezi yakinifu na kalaghabaho zingine ndiko kulipo tuchelewesha for the past 50+ years..
Leo tunaye mtu mwenye uthubutu wa kutufikisha kule tulipotamani kufika yet tunajitutumua kwa kujifanya wajuuzi saana wa kupinga pinga na kukosoa kosoa kumtaka apunguze spidi...
Hebu tuacheni unafiki sasa.. tufanye kazi tujikwamue kiuchumi, tumuunge JPM mkono na tusonge mbele..
Si lazima tujifanye wajuaji sana kwa kukosoa kosoa kusiko na maana wala mashiko..
Pole mkuu..Ila tusifie kulipukalipuka, eti ndio uthubutu. Unanipa wasiwasi.
Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.
Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.
Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?
Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?
Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?
Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo? Unahamia Dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakaohamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo Wizara? Wanajua idadi ya hao watakaohamia Dodoma?
Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa.
Swali linakuja: Kwa bajeti ipi?
Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.
Zoezi la kuhamia Dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi Septemba wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.
Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'Wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?
Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?
Binafsi, nadhani Rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?
Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?
Kuna tatizo Ikulu.
Huogopi kutumbuliwa?Hivi kwannn nchi nzima tusiandamane kwa yanayoendelea?
Nina uhakika kitendo cha kuhamia Dodoma kitasababisha umaskini nchini sababu matataizo ya msingi jhayatatatuliwa bado focus itakua kuhama tu.
Jamani huyu mtu afungiwe speed governor; huyu baba anatupeleka pabaya pabaya mno jamani umaskini utaisha lini?
unamaanisha Psyschiatric?Psichiatric