Kuna tatizo katika kanuni za somo la hisabati!!!!!


hata wagunduzi wa vitu vikubwa walianza na concerpt za chini sana. iweje wewe ambaye hata kutengeneza baiskeli tu huwez unazbeza?
 
hata wagunduzi wa vitu vikubwa walianza na concerpt za chini sana. iweje wewe ambaye hata kutengeneza baiskeli tu huwez unazbeza?
Engager hujanielewa 2,niliposema kuwa ni concept za chini,nilimaanisha ni za madarasa ya 1 2 na 3,ila sikuzishusha thamani,kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha
Japo hata aliyetengeneza baskeli alitumia akili nyingi sana na alikuwa ni mtaalam ktk masuala ya equilibrium nk
 
Mi nasupport majibu ya Sugi na Madela. Wametumia njia nzuri kuprove! Big up wakuu,naamini hata muuliza swali kama alikuwa na nia ya kutaka kujua amepata majibu mazuri kutoka kwa wachangiaji wengi,ila kama lengo lake ni kutaka kubishana humu ndani,hatakaa aelewe. Watu wengi wametoa majibu mazuri.
 

unatumia kinywaji gani? Mkuu
 
heading ukichanganya na swali, unakuta ni kituko. kanuni iliovunjwa ni ipi? kuzidisha ni operator. operator sio kanuni.
 

unafaa kuwa mwalimu. Asipoelewa hapo nahisi hatoelewa tena.
 
Sidhani kama kuna tatizo, labda ni sisi wenyewe hatujaelewa kanuni hizo.

Sifuri ni nini? Kwa mtizamo wangu, sio lazima iwe na maana ya "hamna kitu"! Inategemea na 'aina ya namba' au vipimo unavyoongelea. Kwa mfano kama kitu kina joto la nyuzijoto sifuri haina maana 'hakina joto' na bado kuna vingine vinaweza kuwa na nyuzijoto hasi 273!

Kwa hiyo katika huo mfano wako umesema 8 ni machungwa ni lazima pia utuambie hiyo sifuri ni nini pia? Au unaposema 'kuzidisha' maana yake nini kiuhalisia (naturally)? Je ni sawa kujirudia (incedence)?
 
watu wengi wamemwaga nondo humu na kiukweli mi nimewaelewa mno.. kwa hii ishu ya machungwa na sifuri mi naelewaga ki concept flani kwamba something can never result from nothing.. uking'ang'ania kuangalia hayo machungwa unaweza usielewe kitu kwasababu matatizo mengine ukitaka kuya solve unatakiwa uyaanzie mwisho wake kurudi mwanzo manake usifanye 8*0 rather fanya 0*8 inaweza kusaidia,,
 
au wapige sachi watu walokuepo wakati unayaleta manake wabongo bwana kwa udokozi hatujambo!! usije kukuta wapo bize kukuelekeza hizo habari za 8*0=0 kumbe hao hao ndo wameyabwenga
 
iss sio 2012 sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…