Kuna tatizo katika kanuni za somo la hisabati!!!!!

Kuna tatizo katika kanuni za somo la hisabati!!!!!

Nimejifunza kitu hapa kwamba MARA SIFURI (times zero) maana yake ni kuto kutenda/kutendeka kwa kitendo husika.

Mfano;-
Kuku akitaga Mara sifuri = KUTOKUTAGA
Isaya akinywa soda mbili Mara sifuri=KUTOKUNYWA
Kuizidisha 8 Mara sifuri=KUTOKUIZIDISHA
Kufutwa kwa uchaguzi wa Marudio huko Zanzibar na ndugu Jecha Mara sifuri=KUTOKUFUTWA.

Nadhani kanuni za kihisabati bado ziko sahihi.
n
Naomba kutoa hoja.
 
Katika tendo la kuzidisha kinachopatikana ni zao. Kwa hiyo 8×0=0 maana yake hujazalisha chochote yaani ni sawa kumkojolea mwanamke shahawa (8)×0(zisizo na mbegu)= product yake 0. Huzalishi chochote
 
Katika tendo la kuzidisha kinachopatikana ni zao. Kwa hiyo 8×0=0 maana yake hujazalisha chochote yaani ni sawa kumkojolea mwanamke shahawa (8)×0(zisizo na mbegu)= product yake 0. Huzalishi chochote

heeee....
Hata kukojozana ni suala la kihisabati mkuu?
 
ELIMU ELIMU ELIMU..

Heading ya leo kwenye gazeti la Daily News Uingereza.
KANUNI ZA HESABU ZAKOSEWA TANZANIA

Naona watu mnarudishana primary. Sasa napata picha kwanini serikali iliona elimu ya msingi iwe kidato cha nne.
 
Sasa basi tukija kwa swali lako namba 8 au namba yoyote ukizidisha kwa sifuri ni sawa na kusema unazidisha kwa infinity,
Umechapia 8×0 ni sawa na kuzidisha RECIPROCAL ya infinity na sio infinity yenyewe.

Kijana una safari ndefu sana ya kujua logic na kanuni za kimahesabu.

Kwanza kabisa unapaswa uelewe kwamba Sifuri ikikaa nyuma ya namba yoyote 01 inakuwa haina thamani.

Thamani ya sifuri inaanza kuhesabika tu kama utaongeza nukta kati ya namba au ikikaa mbele ya namba, mfano 0.1 au 10 na kuendelea. Lakini pia unapaswa kuelewa kuwa sifuri hiyo hiyo ikikaa mbele ya namba yoyote ambayo ina nukta (0.10) inakuwa haina thamani pia, kwa sababu sifuri peke yake inamaanisha kuwa icho kitu ni infinity, yaani kimegawanyika mara nyingi kwa idadi isiyokwisha, ndio ikaitwa infinity... yaani haina mwisho.

Sasa basi tukija kwa swali lako namba 8 au namba yoyote ukizidisha kwa sifuri ni sawa na kusema unazidisha kwa infinity, hesabu ambayo kitaaluma haipo na ukiigawanya kwa 0 ina maana vipande ambavyo utavipata ni vidogo sana kiasi amabcho uwezi kuandika wingi wake ndio infinity, kwa kurahisisha mambo ndio tunasema jibu lake ni sifuri.

Kinyume cha Kuzidisha ni kugawanya.

Kinyume cha kujumlisha ni kutoa.
 
kuzidisha maana yake ni jumla inayopatikana kwa kujumlisha idad kadhaa ya namba husika.
kwa mfano 2×5 maana yake 2 imetokea au imejirudia mara 5 ktk mtiririko fulan wa namba, yaan 2,4,2,6,2,5,7,2,9,10,2. Ktk namba hizo mbili zipo tano, hivyo kuandika 2 imejirudia mara ngapi kihesabau tunaandika, 2 zipo 5, yaan 2×5=10. Lakin ukiitazama 8 ktk orodha hiyo haipo, yaan imejitokeza mara 0. Hivyo inatakiwa kujenga fikra akilin kuwa 8 huna. Unaposema una machungwa 8 tafsir yake tayar hapo 8 imeshajitikeza mara 1, hivyo kwanini uzidishe kwa sifuri wakat tayar unayo???? hapo ni machungwa 8 yamejitokeza mara 1, hivyo ni 8×1=8

Lau ungekuwa huna machungwa mkonon, hapo tungesema machngwa 8 yamejitikeza mara 0, yaan 8×0=0
 
Wakuu naanza kwa kuwasalimu salaam.
Leo nimeonelea niwaletee hili swala la kanuni za somo la hisabati. Sitaongelea kanuni zote, bali nataka kuongelea kanuni moja tu ya kuzidisha. Kwa kawaida ukichua machungwa manane ukayazidisha mara mbili jibu utapata machungwa kumi na sita. nakadhalika na kadhalika.
Tatizo langu liko kwenye ile kanuni inayosema "namba yoyote ukizidisha kwa sifuri jibu ni sifuri...." Mfano una machungwa manane ukayazidisha na sifuri (yaani hukuyazidisha na idadi au kitu chochote) jibu (kwa mujibu wa kanuni hapo juu ni kuwa) hakuna machungwa!!!! Hii si kweli kwa akili za kawaida. Mimi nakubaliana na kanuni kwamba namba yoyote ukiiongeza na sifuri jibu ni namba yenyewe. Lakini kwa nini 8 (nane) ikizidishwa na 0 (sifuri) jibu lake liwe sifuri?? Ukiangalia kanuni ya hesabu za "logarithm" tunaona kwamba kinyume cha kuzidisha ni kujumlisha. Hivyo kwa kutumia kanuni ya logarithm (kinyume cha kujumlisha na kuzidisha), tunategemea ya kuwa 8x0= 8 kama ilivyo kwa 8+0= 8!!!
Nawaomba wanahisabati wote wale waliobobea na hata wale wa kawaida tujadili. Lengo ni kujaribu kuondoa dhana ya elimu inayotelewa hapa duniani kwa sasa. Kwamba kile elimu inachokifundisha kwa watu hapa duniani katika maisha ya kweli hakitumiki. Tuibadili dunia kutoka mtazamo wa sasa hadi ulimwengu wa uhalisia (real life). Nawasilisha.
Karibuni wakuu tuchangie.
Namba yoyote ukizidisha kwa 0 jibu ni sifuri, hii kauli hakuna ubishi ulikariri wala hukuelewa nini maana ya kuzidisha
 
Kukurahisishia ni kuwa mambo mengine ni convention tu ili kujenga msingi wa kuelewana, mfano kuna ushahidi gani 1 + 1 = 2?? 1 ni nini?
 
kuzidisha maana yake ni jumla inayopatikana kwa kujumlisha idad kadhaa ya namba husika.
kwa mfano 2×5 maana yake 2 imetokea au imejirudia mara 5 ktk mtiririko fulan wa namba, yaan 2,4,2,6,2,5,7,2,9,10,2. Ktk namba hizo mbili zipo tano, hivyo kuandika 2 imejirudia mara ngapi kihesabau tunaandika, 2 zipo 5, yaan 2×5=10. Lakin ukiitazama 8 ktk orodha hiyo haipo, yaan imejitokeza mara 0. Hivyo inatakiwa kujenga fikra akilin kuwa 8 huna. Unaposema una machungwa 8 tafsir yake tayar hapo 8 imeshajitikeza mara 1, hivyo kwanini uzidishe kwa sifuri wakat tayar unayo???? hapo ni machungwa 8 yamejitokeza mara 1, hivyo ni 8×1=8

Lau ungekuwa huna machungwa mkonon, hapo tungesema machngwa 8 yamejitikeza mara 0, yaan 8×0=0

tazama hii post
 
Mimi nimejifuza na nimeelewaaa Jambo wanapo sema SIFURI × NAMBA YOYOTE Ni sufuri ,na tujue kwamba kuzidisha kinyume chake Ni jumlisha mfano:
0 × 8 =0 inamaana
0 + 0 + 0 + 0 + 0 + 0 + 0 + 0
Mfano 2: 2 × 3 hi nataka kudhihilisha kuwa kinyume Cha × Ni +
2×3 utajumlsha mbili tatu nikiwa namaana 2 + 2 + 2 = 6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom