Kuna tatizo Chadema hilo lazima tukubali

Kuna tatizo Chadema hilo lazima tukubali

John Heche kapokea Kijiti cha Sumaye kama Sumaye alivyopokea cha Zitto kama Zitto alivyopokea cha Chacha Wangwe

Mie naunga mkono juhudi za Feeeman Mbowe

Mbowe mjanja sana , kimya cha Lissu kilimvuruga akajikuta kamtega awanie U Makamu mwenyekiti ili yeye abaki kwenye ‘ardhi yenye rutuba ‘
Chacha alipokea cha Kabouru.
 
Kama sumu haijaribiwi
Yawezekana kwa Lisu ilijaribiwa ila haikuwa na kiwango!!
You know everything happened and you are still silent!! Come out so that truth to be revealed!!!
 
Sumaye Kaja Chadema Juzi halafu awe mwenyekiti wa Taifa ni aibu.

Huyu Komu, Kubenea, na Mwambe wasipohamia CCM kabla ya 2020 Njoo hapa nidai 100,000
Hujajibu hoja. Acha demokrasia itawale.. kwani katiba ya CDM inasemaje?. Maana fupi ya demokrasia is power to many na sio vijitu vichache. Hoja za watu ni kwa nini kila anayetaka kugusa kugombea uenyekiti anafulushwa[emoji3]?.. jibuni swali hili, mm binafsi nazani kama mioyo ya wanachama wa CDM wanaimani kubwa na Mh. Mbowe sizani kama kungekuwa na tishio kubwa kwa watu kugombea uenyekiti maana tungeona wanagombea na wanatupwa mbali na Mh. Mbowe. Kuwafanyia figisu watu hao wenye nia ni woga wa kuangushwa kidemoklasia.
 
Back
Top Bottom