Kuna tatizo Chadema hilo lazima tukubali

Kuna tatizo Chadema hilo lazima tukubali

Ngoja wapambe wa mbowe waje wakushambulie hadi u log off Jf

Unamfahamu tindo Salary Slip n.k ?

Tafuta uzi wowote ninaomuunga mkono Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, ukiupata nipigwe ban ya maisha hapa jf. Mimi sikubaliani kabisa na Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti ndani ya cdm kwa utetezi wowote ule, lakini siko tayari kuona hayo matakataka ya ccm kupewa madaraka ndani ya cdm. Hivyo ni vyema hayo matakataka toka ccm yaungane na Mbowe kupisha kiti cha uenyekiti.
 
Sumu haijaribiwi kwa kuiramba!!!!
Uenyekiti sumu kali!!!!!
Upinzani sumu kali!!!!!
Sitaki uenyekiti!!Sitaki upinzani!!!Sitaki siasa!!!
 
Kumekucha... heri useme kuliko mfe na tai shingoni!
 
CDM ina tatizo ndio sawa unaweza kuwa sahihi lakin wote walioondoka CDM wako ccm isipokuwa Zitto.Ndipo ujue ccm ina watu wake na upinzani una watu wa aina yake.Mpinzani halisi hawezi kujiunga ccm hata kidogo,kama ambavyo hata Yanga ikifungwa 10-0 na simba mwanayanga hawezi kuhamia simba basi ndivyo siasa hizi zilivyo.Dr.Slaa sijawahi kumwelewa achilia mbali Sumaye ambaye kiutendaji anazidiwa hadi na mzee wa katavi mzee pinda.Kwa hiyo ujue ccm walipenyeza watu wao au watanzania hasa wanaccm wawe wavumilivu huko Chamani wajue kuwa mpinzani sio rahisi.Hii nibgahadhari kwa Membe ajue maisha ya Upinzani hayataki kulamba sukari,ni chumvi,pilipilin.k
 
Mpaka nawaonea huruma, si mrudi tu nyumbani?! Kwani mmefungwa kamba au pingu?!
 
kuhusu ZZK aisee tuache kupotosha huyu jamaa alikua na makando kando yake kibao ikiwemo kuwa jirani na Jack Zoka, JK na baadhi ya vigogo wa ccm..... ina short ZZK hakuaminiwa kama ambavyo bado watu wengi hawamwamini mpk leo!

angalia watu wake aliokua nao wako wapi, kina Anna, Patrobas, Shoza, kitila, na zile takataka zao zilizokua zinawalamba viatu Festo sanga na kundi lake wapo wapi?.....

sasa kwa zzk utawalaumu vp cdm?
 
Hizi id Nina mashaka nazo.habari inatoka baada ya dakika tano nawewe unashusha hizi nondo milambizana au imekuwa je.
 
CDM mtu yeyote anayewakosoa wanamchukulia kama ni CCM ila mtu yeyote anayewasifia wanadhani ni mwenzao.

Wapinzani kiuhalisia bado sana kuwa chama tawala.hata kwa miaka 30 mbele bado.hawajielewi hawajajipanga.

Sijawahi kuipenda CCM toka nimepata uelewa wa vitu. Mwanzoni kabisa nilikua naipenda CUF, ila katika miaka ya 2005-2010 siasa za Zitto pamoja na Dk. Slaa zilinivutia sana eventually nikajikuta nasupport CHADEMA. Miaka kadhaa ikapita Zitto akafukuzwa chama kwa maneno mengi sana kama in sellout na ilikua in kipindi kama hiki kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2015.

Katika utetezi wake ndugu Zitto alidai matatizo yote ndani ya CHADEMA yalianza baada ya yeye kuonyesha nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti ndani ya chama ila hakuambulia alichotegemea akapata label ya kua anatumika. Na leo tena same case imetokea kwa Mzee Sumaye baada ya kuonyesha azma ileile, naye figisu zikaanza. Na laiti angekua kijana mwenye nguvu pia angeshtumiwa/atashutumiwa kutumiwa na serikali.

GuDume ana Uzi wake humu ndani akiuliza wapinzani wa Tanzania wanataka nini? Na mimi nakazia kwa kua very specific CHADEMA mnataka nini?
 
Tatizo hakuna mkaskazini aliyeandaliwa kumrithi Mbowe....... ndiposa wanafikiria ubishani ukizidi itabidi Halima Mdee avae viatu vya Mbowe!
Sumaye mkasikazini aliandaliwa kasanda game, kwa maelekezo ya polepole ili akichafue chama
 
Sumaye Kaja Chadema Juzi halafu awe mwenyekiti wa Taifa ni aibu.

Huyu Komu, Kubenea, na Mwambe wasipohamia CCM kabla ya 2020 Njoo hapa nidai 100,000
ulicho andika hapa nisawa na mtu aseme natabiri 2020 magufuli atakua raisi jambo ambalo hata chizi anajua na probability yake ni 0.99
 
kuhusu ZZK aisee tuache kupotosha huyu jamaa alikua na makando kando yake kibao ikiwemo kuwa jirani na Jack Zoka, JK na baadhi ya vigogo wa ccm..... ina short ZZK hakuaminiwa kama ambavyo bado watu wengi hawamwamini mpk leo!

angalia watu wake aliokua nao wako wapi, kina Anna, Patrobas, Shoza, kitila, na zile takataka zao zilizokua zinawalamba viatu Festo sanga na kundi lake wapo wapi?.....

sasa kwa zzk utawalaumu vp cdm?
kwa wakati ule zitto ndiyo alikua Kama Messi kwa Barcelona hivyo chama kilimuangalia yeye angelifaa zaidi kukiongoza
 
CDM mtu yeyote anayewakosoa wanamchukulia kama ni CCM ila mtu yeyote anayewasifia wanadhani ni mwenzao.

Wapinzani kiuhalisia bado sana kuwa chama tawala.hata kwa miaka 30 mbele bado.hawajielewi hawajajipanga.
Unaipima CDM mtandaoni, chama kina vikao rasimi mkuu, huku wengi ni washabiki tu. Nilidhani una akili kumbe nawe ni hewa, chama ni vikao siyo majungu ya JF
 
Sijawahi kuipenda CCM toka nimepata uelewa wa vitu. Mwanzoni kabisa nilikua naipenda CUF, ila katika miaka ya 2005-2010 siasa za Zitto pamoja na Dk. Slaa zilinivutia sana eventually nikajikuta nasupport CHADEMA. Miaka kadhaa ikapita Zitto akafukuzwa chama kwa maneno mengi sana kama in sellout na ilikua in kipindi kama hiki kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2015.

Katika utetezi wake ndugu Zitto alidai matatizo yote ndani ya CHADEMA yalianza baada ya yeye kuonyesha nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti ndani ya chama ila hakuambulia alichotegemea akapata label ya kua anatumika. Na leo tena same case imetokea kwa Mzee Sumaye baada ya kuonyesha azma ileile, naye figisu zikaanza. Na laiti angekua kijana mwenye nguvu pia angeshtumiwa/atashutumiwa kutumiwa na serikali.

GuDume ana Uzi wake humu ndani akiuliza wapinzani wa Tanzania wanataka nini? Na mimi nakazia kwa kua very specific CHADEMA mnataka nini?
chadema just pressed a wrong button
 
CDM mtu yeyote anayewakosoa wanamchukulia kama ni CCM ila mtu yeyote anayewasifia wanadhani ni mwenzao.

Wapinzani kiuhalisia bado sana kuwa chama tawala.hata kwa miaka 30 mbele bado.hawajielewi hawajajipanga.
ni chama pinzani lakini hakiwezi kuvumilia upinzani unapotokea kwa upande wao
 
Kumekuwa na tetesi za muda mrefu ambazo zninatokana na wanachama wa CHADEMA wanaonesha nia ya kugombea uongozi taifa kwa ngazi ya uenyekiti madhara yanayo watokea na figisu zinazo watokea zipo zimeweza kudhibitishwa na kudhibitika ipo mifano kadhaa ya wazi ya baadhi ya wanasiasa hao wamefukuzwa au kuhama chama kwa tuhuma nzito zinazo wafanya wahame au waokufukuzwa katika mazingira pia na matukio mengine mengi hatarishi ambayo yamekuwa yakiwatokea na kuyahushishwa matukio hayo na nia zao za kuonesha nia ya kugombea kiti cha uenyekiti taifa kilinachokaliwa na Mhe. Mbowe kwa zaidi ya miaka 15 sasa

Pia kutokana na kasheshe hii ya ngazi ya mwenyekiti taifa ndani ya CHADEMA kuwa ni ngumu kuipata na nafasi ambayo haigusiki kwa zaidi ya miaka hiyo pia katika mkutano wake aliekuwa mwenyekiti wa CHADEMA ngazi ya kanda, kanda ya Pwani na waziri mkuu mstafu wa jamhuri wa muungano wa Tanzania amewaeleza na kuwathibitishia waandishi wa habari jinsi na namna amabavyo amefikwa na kadhia hizo ambazo hata walio tangulia na kupitia hayo wali wahi kueleza ndiyo yale yale Mhe. SUMAYE amekithibitisha mbele ya waandishi wa habari. Mbali na SUMAYE pia wapo wanachama wamejitokeza na kutoa malalamiko yao akiwemo KUBENEA, KOMU na MWAMBE hii ndyo hali iliyo ndani ya chama kinacho jinasibu kuwa cha Demokrasia .

Ofisi ya msajili wa vyama nchini atuambie kanuni na masharti gani ambayo yanakiukwa na vyama vya siasa ktk mfumo wa kujiiendesha na kama zipo kanuni zinazokiukwa ni hatua gani? zistahili kuchukuliwa dhidi ya vyama hivyo kwani malalamiko haya hayaja anza kusikika leo baada ya Mhe. Sumaye huu ni mwendelezo tu matukio ya aina hii kuendelea kutokea ambayo bila shaka mwelekeo wake siyo mzuri kwa usitawi na ukuwaji wa demokrasia nchini.
View attachment 1281576
Acheni Uongo
 
Back
Top Bottom