Kuna tatizo Chadema hilo lazima tukubali

Kiukwel akili zangu ni tofauti na zako.mimi ni hewa at least inasaidia katika uhai maana mtu akikosa hewa anafariki.

Mimi akili yangu ingefanana na yako ngejiua.ingekuwa bora nife kuliko kuishi ndondocha. Nlikataa kushikiwa akili na sitokubali kwa hilo.

Unaipima CDM mtandaoni, chama kina vikao rasimi mkuu, huku wengi ni washabiki tu. Nilidhani una akili kumbe nawe ni hewa, chama ni vikao siyo majungu ya JF
 
Sumaye Kaja Chadema Juzi halafu awe mwenyekiti wa Taifa ni aibu.

Huyu Komu, Kubenea, na Mwambe wasipohamia CCM kabla ya 2020 Njoo hapa nidai 100,000
Mku kwani Katiba ya Chadema inasema ili mtu awe mwenyekiti hapo anatakiwa kuwa amehamia kwa kipindi gani? Watu wapenda Dimokrasia hawatajisumbua kugombea. Bhana Uenyekiti una raha zake.
 
Unaipima CDM mtandaoni, chama kina vikao rasimi mkuu, huku wengi ni washabiki tu. Nilidhani una akili kumbe nawe ni hewa, chama ni vikao siyo majungu ya JF
wanao kaa vikao hivyo usisahau wapo humu pia
 
Mku kwani Katiba ya Chadema inasema ili mtu awe mwenyekiti hapo anatakiwa kuwa amehamia kwa kipindi gani? Watu wapenda Dimokrasia hawatajisumbua kugombea. Bhana Uenyekiti una raha zake.
ehehe
 
Kiukwel akili zangu ni tofauti na zako.mimi ni hewa at least inasaidia katika uhai maana mtu akikosa hewa anafariki.

Mimi akili yangu ingefanana na yako ngejiua.ingekuwa bora nife kuliko kuishi ndondocha. Nlikataa kushikiwa akili na sitokubali kwa hilo.
umenena alafu chadema ndiyo nimegundua Leo kuwa wao hawana worship team wana worship churches
 
Kiukwel akili zangu ni tofauti na zako.mimi ni hewa at least inasaidia katika uhai maana mtu akikosa hewa anafariki.

Mimi akili yangu ingefanana na yako ngejiua.ingekuwa bora nife kuliko kuishi ndondocha. Nlikataa kushikiwa akili na sitokubali kwa hilo.
Mkuu tatizo lako unadhani chadema iko Jf, chama kina ofisi na vikao rasimi, ulishawahi peleka malalamiko yako? au unadhani kuandika majungu JF ndo kuikishauri chama?
 
Kuna sababu kwa nini mpaka leo hicho chama kimesimama tofauti na vile vingine ,pamoja na makombora na propaganda kinayotupiwa.......bado natafakari. Ila kuna kitu wanakifanya vizuri otherwise hizi kelele zisingekuwepo.
 
CDM mtu yeyote anayewakosoa wanamchukulia kama ni CCM ila mtu yeyote anayewasifia wanadhani ni mwenzao.

Wapinzani kiuhalisia bado sana kuwa chama tawala.hata kwa miaka 30 mbele bado.hawajielewi hawajajipanga.
Huenda wanaridhika na ruzuku.... Na hali itakua hivihivi NCCR, CUF, CDM na ACT vyote vitapita na hakuna lolote litakalo badilika
 
Kuna sababu kwa nini mpaka leo hicho chama kimesimama tofauti na vile vingine ,pamoja na makombora na propaganda kinayotupiwa.......bado natafakari. Ila kuna kitu wanakifanya vizuri otherwise hizi kelele zisingekuwepo.
Hapo kinachofanyika vizuri ni kulinda kiti cha Mkiti. basi.
 
Sumu haijaribiwi kwa kuiramba!!!!
Uenyekiti sumu kali!!!!!
Upinzani sumu kali!!!!!
Sitaki uenyekiti!!Sitaki upinzani!!!Sitaki siasa!!!
Kama sumu haijaribiwi
Yawezekana kwa Lisu ilijaribiwa ila haikuwa na kiwango!!
 
Tafuta uzi wowote ninaomuunga mkono Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, ukiupata nipigwe ban ya maisha hapa jf. Mimi sikubaliani kabisa na Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti ndani ya cdm kwa utetezi wowote ule, lakini siko tayari kuona hayo matakataka ya ccm kupewa madaraka ndani ya cdm. Hivyo ni vyema hayo matakataka toka ccm yaungane na Mbowe kupisha kiti cha uenyekiti.
Nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom