Kuna tabia zinakera sana katika jamii zetu

Kuna tabia zinakera sana katika jamii zetu

Kibongo bongo wengi tu huwawekea wenzao vifundo kwenye makoromeo hahaaaa yao bila sababu either, kwa kumhisi vibaya, kumuona ana ringa bila sababu, na ukimzidi mtu kitu nalo ni kosa.
Hilo la kusalimia ndo sijui wanaona ni nini kuna mtu alikua anauliza kitu baada ya kutoa msaada wakaanza kumshambulia mbona husalimii, sijui nini? Hivi hapa mjini utasalimia wangapi.
Na tabia ya jamii kutaka uishi wao wapendavyo na kupangia wengine life style. Kuna vtu vingi Jamii ibadilike sasa.

Ni ugonjwa wa jamii yetu
kuna mtu nilikua nae ofisi moja but idara tofauti
wakati mwingine tunaonana tu juu kwa juu
kumbe ana kifundo cha koromeo why simsalimii daily

siku ya siku nina shida na yeye specific kumfata ndo nagundua kumbe huyu mtu
ana fundo la koromeo na mimi...kweli tuna shangaza sana....vijitabia vya watu wanaoishi kwenye miji midoogo
kama vijiji vya wavuvi unavikuta kwenye city.....
 
Maisha kufaana" hizo ni tabia za kiswahili tu tulizo jizoesha. Jenga nyumba yko weka geti kali uone kama hyo tabia namba 3 kama ita exist
 
Ni ugonjwa wa jamii yetu
kuna mtu nilikua nae ofisi moja but idara tofauti
wakati mwingine tunaonana tu juu kwa juu
kumbe ana kifundo cha koromeo why simsalimii daily

siku ya siku nina shida na yeye specific kumfata ndo nagundua kumbe huyu mtu
ana fundo la koromeo na mimi...kweli tuna shangaza sana....vijitabia vya watu wanaoishi kwenye miji midoogo
kama vijiji vya wavuvi unavikuta kwenye city.....

Nyie mnashangaa hayo kufanyika mtaani ambapo wengi wao hawako civilized, mi nilikuwa nashangaa sana miaka hiyo nikiwa bado chuoni, mtu (anayejiita msomi) ana mind issue ya kutokusalimiwa, mara fulani anaringa hasalimii, mi nikawa najiuliza hivi kama msomi analilia salamu vipi wale mama zangu wa uswahili? Siasa za ujamaa zimetuharibu sana waTanzania!
 
Hawakawii kusema anaringa sana yule, anajisikia sana yule blah blah blah! Sasa mfumo wangu wa maisha wewe kwanini ukose raha kwa namna ambayo nimeamua kuishi? Miafrika ndivyo ilivyo! Mimi wala huwa sipotezi muda wangu na watu wa hivi wenye ntima nyongo.

Kwa kweli kuna baadhi ya mambo kwenye jamii zetu ambayo ni ya kipumbavu mno.

Unakuta watu wanakumaindi kwenye mambo ambayo hayawahusu kabisa.

Mbaya zaidi, upumbavu wao unakuwa umekithiri kiasi cha hata kutotambua ni mambo yepi yasiyowahusu.

Unakuta mtu anamaindi kisa tu mimi naishi Mbezi au Kenya.

Yeye mambo yangu yanamhusu nini?

Halafu sasa mtu mwenyewe hata hakujui na wewe humjui lakini ana fundo kwenye koromeo kisa maisha ya mtu mwingine.

Sasa kwa mfano hayo mambo ya kuazimisha watu vitu [unaweza pia ukaongeza mambo ya michango kuhusu jambo lolote lile], hivi kwani ni lazima kumuazimisha mtu kitu chako?

Yaani ni kama vile watu hawaelewi kabisa kuwa mambo mengine ni ya hiari na si lazima.

Sijui ni lini tu jamii yetu hii itaanza kuthamini watu kujali mambo yao wenyewe na kuacha kujihusisha na maisha ya wengine.

Moja kati ya mambo ambayo kwa kweli nayachukia kwa nguvu zangu zote ni hayo ya kumaindi maisha ya wengine.
 
Kumbe ndio profile yako ulivyo Bi_shost? Nashukuru kukufahamu...maana nilikuwa napata shida sana kukufahamu but now everthing is out...

NB: Msiwe mnaanika wajihi wenu wazi wazi hivi..wengine ni wepesi wa kusoma btn the lines....you will be kwishney..!
 
Kosa sio kosa ila kosa nikurudia kosa kama mwanzo kakupiga kimya ukimpatia tena ni mapenzi yako hayo
 
Bado unaazimisha vitu??? Acha...ujamaa ukishakufaga.

Pia mgeni mwenye kiherehere mbona ndio mzuri...unampa za uso hakutembelei tena
 
Unashangaa pasi na fagio?
Uswazi hadi kopo la chumvi mnaazimana......
Ukiwasha jiko la mkaa ujue utasaidia kuwasha moto majirani hata watano

Wapi mnaazimana pasi,fagio,chilli source?! Hostel?!
 
Hahahah ilinikuta hii

Nilikuwa nafanya ofisi fulani...asubuhi moja na hataka haraka zangu za kuwahi ile napanda ngazi tu nyuma wamama watu wazima wakaanza kunisema na kuniteta.... nikaamua heri nichelewa, nikaweka ustaarabu kwenye pochi nakuwarudia....nikawapa za uso za kutosha.

Toka siku hiyo ilibidi wawe wanatabasamu wanaponiona hata kama nipo mbali...hadi nilipoondoka


Ni ugonjwa wa jamii yetu
kuna mtu nilikua nae ofisi moja but idara tofauti
wakati mwingine tunaonana tu juu kwa juu
kumbe ana kifundo cha koromeo why simsalimii daily

siku ya siku nina shida na yeye specific kumfata ndo nagundua kumbe huyu mtu
ana fundo la koromeo na mimi...kweli tuna shangaza sana....vijitabia vya watu wanaoishi kwenye miji midoogo
kama vijiji vya wavuvi unavikuta kwenye city.....

Nyie mnashangaa hayo kufanyika mtaani ambapo wengi wao hawako civilized, mi nilikuwa nashangaa sana miaka hiyo nikiwa bado chuoni, mtu (anayejiita msomi) ana mind issue ya kutokusalimiwa, mara fulani anaringa hasalimii, mi nikawa najiuliza hivi kama msomi analilia salamu vipi wale mama zangu wa uswahili? Siasa za ujamaa zimetuharibu sana waTanzania!
 
Vunja ukimya

Hata kama atanuna (heri vilevile)
Mwambie huazimishi...yeye ni mharibifu pia wewe sio maktaba


Nimesema hali halisi ya uswahilini lakini hizi tabia sio kwenye nyumba za upangaji tu, bunafsi nimekerwa sana na mtu ambaye ni rafiki yangu tu tena tunaishi mbali mbali, yaani mwendo waboda boda 3000, mpumbavu huyu kila akija kwangu anaazima vitu hata visivyo azimika, kwa kweli kanikwaza sana, maana aliisha haribu flash yangu ambayo nimehifadhi mambo yangu muhimu, tangu juzi kuna kitu changu nilimtaka anirudishie akawa ananikwepa leo nikamtuma mtu akanichukulie wallah!!!!!!! nilitamani kulia baada ya kuletewa, ndio maana nimesema ila nimeunga na hizo pamoja zinakera tu. mi watu mingine sijui ikoje.
 
Hahaa nimecheka kwa sauti uliposema 'ana fundo kwenye koromeo'

Kiukweli tuna tabia za ki primitive sana
au mtu anakuchukia kisa humsalimii
as kumsalimia kila mtu ni lazima.....

Mwingine atakuchukia akiamini 'unatakiwa kumsaidia'
hata kama hujui exactly shida zake since hajawahi kukwambia..
au kakwambia huoni ulazima wa kufanya hivyo ...
the list is endless...


Hapo kwenye Salaam Umenigusa mkuu, Mimi ni Mgumu sana kusalimia, Basi Nanuniwa hapa Ofisini Hatari
 
Sikiliza Je Huu ni uungwana na wambura Mtani kila jumapili saa 09:30 mpaka 10:00 asubuhi RFA.
 
Mimi huwa inanishangaza mtu yuko mjini kwenye jiji
halafu tabia kama anaishi kwenye a small village

kuna mtu alikuwa old neighbor miaka tukapoteana
na hatukuwahi kuwa hata close..ni kujuana tu kijuu juu
siku moja nimekutana nae kanisalimia,nikamwambia
'nimekusahau' nikumbushe.....cha ajabu akakasirika
ye aliona kumwambia 'nimemsahau' kama nimemtukana...
nikaona kweli waswahili tuna tabu
lol...nimecheka hiyo ya "nikumbushe"kila nikitembelea home nakutana na watu wao wananikumbuka mimi nimewasahau basi nawaulizaga straight "hebu nikumbushe" wanakasirika sana kumbe ninakua nimewasahau kweli.
 
Nimesema hali halisi ya uswahilini lakini hizi tabia sio kwenye nyumba za upangaji tu, bunafsi nimekerwa sana na mtu ambaye ni rafiki yangu tu tena tunaishi mbali mbali, yaani mwendo waboda boda 3000, mpumbavu huyu kila akija kwangu anaazima vitu hata visivyo azimika, kwa kweli kanikwaza sana, maana aliisha haribu flash yangu ambayo nimehifadhi mambo yangu muhimu, tangu juzi kuna kitu changu nilimtaka anirudishie akawa ananikwepa leo nikamtuma mtu akanichukulie wallah!!!!!!! nilitamani kulia baada ya kuletewa, ndio maana nimesema ila nimeunga na hizo pamoja zinakera tu. mi watu mingine sijui ikoje.[/QUOTE

Mtu anaazima flash drive?
 
Hama uswahilini

Pili, siku nyingine usiazimishe. Watu mmezoea kulalamika bila kuchukua hatua wakati uwezo uko mikononi mwenu
 
Solution ni kuhama uswazi tu...! Ukiishi uswahilini huna privacy..
 
Back
Top Bottom