Kuna Siri kuu mbili tuu za Kumkojoza Mwanamke

Kuna Siri kuu mbili tuu za Kumkojoza Mwanamke

😂🤣🤣🤣Pale uchawi utelezi wa asili hakuna..

Masuala ya kuugegeda mkono inataka moyo
Ndo jamaa alikuwa anatema madini namna ya kuleta huo utelezi,endeleeni kuwa wavumilivu tunategemeana,tatizo wakojozaji wabishi sana🤗🤗🤗🤗🤗🤗
 
Ndo jamaa alikuwa anatema madini namna ya kuleta huo utelezi,endeleeni kuwa wavumilivu tunategemeana,tatizo wakojozaji wabishi sana🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Shida mnatuonea sana, mnatubebesha mizigo mingi.... 🤣😂
 
Joy na Happy ni synonyms yanarejelea maana ileile.

Raha ni Pleasure au comfort ambayo mtu huipata kulingana na muktadha. Na mara nyingi haidumu kumaanisha inachukua muda mfupi



Hapana Mkuu Joy and happy are not synonyms, ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisaa chunguza kwa kutafakari Zaidi utapata picha kamilifu kati ya haya maneno


Joy ni Hali na Happy ni mhemko


Joy ni Hali ya ndani aliyonayo mtu ambayo ni matokeo ya tumaini (tumaini ni Imani yenye uhakika)

Joy haitegemei vitu au hali ya mazingira ya nje i.e mtu awe nacho anafuraha asiwe nacho anafuraha awe kwenye hali yoyote nzuri au mbaya utasoma tabasamu moyoni mwake

Joy hainunuliwi kwa chochote chenye thamani kilichopo katika hi dunia kama fedha, mali na vingine vya thamani yaani thamani ya joy hakuna kitu chochote chenye thamani au cha kutamanika katika dunia hi kinaweza kuifikia

Note: The sources of Joy is only God

Happy ni mhemko anaokuwa nao mtu katika mwili kwa muda kutokana na matokeo chanya ya jambo au kitu fulani. mfano, mtu amefanya biashara amepata faida kubwa atakuwa happy, au amepewa vitu kama pesa au mali atakuwa happy

Happy inategemea vitu au hali ya mazingira ya nje


Happy inanunuliwa kwa vitu kama pesa, mali na vingine vya kutamanika


Happy ni kwa muda tu, Joy ni milele i.e MTU anakuwa joyful even after death na watu wenye joy huwa hawahisi maumivu ya mwili wakati wa Roho kuondoka ndani ya mwili
 
Mi ningekua men nasijawahi kojolesha mwanamke ningejiua tu maana huna maana hapa duniani na akhera na kuzimu..
Wanaume hii iwe 'table'yenu au four figure yenu kwa andiko hili!
Serikali ijayo baada ya reforms tutapendekeza kama hujawahi mkojoza mkeo uongezewe kodi ***** ..na wanawake ambao hawajawahi kukojozwa na waume zao "RUKSA KUOLEWA LWA PILI" mtashaa😆.mtu asiguse andiko langu andika lako!

Somo la bure ila wamekata tamaa
 
Hapana Mkuu Joy and happy are not synonyms, ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisaa chunguza kwa kutafakari Zaidi utapata picha kamilifu kati ya haya maneno


Joy ni Hali na Happy ni mhemko


Joy ni Hali ya ndani aliyonayo mtu ambayo ni matokeo ya tumaini (tumaini ni Imani yenye uhakika)

Joy haitegemei vitu au hali ya mazingira ya nje i.e mtu awe nacho anafuraha asiwe nacho anafuraha awe kwenye hali yoyote nzuri au mbaya utasoma tabasamu moyoni mwake

Joy hainunuliwi kwa chochote chenye thamani kilichopo katika hi dunia kama fedha, mali na vingine vya thamani yaani thamani ya joy hakuna kitu chochote chenye thamani au cha kutamanika katika dunia hi kinaweza kuifikia

Note: The sources of Joy is only God

Happy ni mhemko anaokuwa nao mtu katika mwili kwa muda kutokana na matokeo chanya ya jambo au kitu fulani. mfano, mtu amefanya biashara amepata faida kubwa atakuwa happy, au amepewa vitu kama pesa au mali atakuwa happy

Happy inategemea vitu au hali ya mazingira ya nje


Happy inanunuliwa kwa vitu kama pesa, mali na vingine vya kutamanika


Happy ni kwa muda tu, Joy ni milele i.e MTU anakuwa joyful even after death na watu wenye joy huwa hawahisi maumivu ya mwili wakati wa Roho kuondoka ndani ya mwili

Kama hujui semantic na hujasoma isimu ya lugha tuachie wataalamu
joy na Happy ni synonyms zinazorejelea maana Moka.
Zote ni Hali.

Raha ni Pleasure, hii hutokea Kwa muda na kulingana na muktadha.

Unaweza kuingia hata Google watakueleza kama upo mbali na waalimu wa kingereza
 
Hakuna siri, ni suala la yeye mwenyewe kuwa tayari kihisia na kimwili kwa ajiri ya tendo. Mwanamke wakati wa tendo anawaza madeni ya kausha damu, anawaza wakati wa kuondoka utampa shillingi ngapi, anawaza hela ya mchezo wa 4000 kila siku(kumbuka Jina lake lipo kwenye michezo mitatu na hana kazi yoyote).

Ukija kwenye mwili haijulikani hata bamia na machungwa amekula lini. Afya ya uke ashaiaribu na chips mayai.

Mwanamke kama huyu kumfikisha iyo ni kazi ambayo inahitaji malipo
 
Mtu akishakuwa mkeo tayari umeona Value yake. Huwezi mfanya mwanamke mkeo kama hana Value.
Akishakuwa mkeo majukumu yako ya msingi ni pamoja na kumkojoza.

Kwa experience yangu na huyo unayemwita mke wangu na aliyonitendea, nyie endeleeni nao, I am single and I dont talk twice na mwanamke, ni swala la Mda tu utakuja kuelewa hawa watu
 
Labda anakulelea vzr watoto wako, labda anakutunza vzr kama mume wake, anakuheshimu, anakusikiliza, anakushauri...

Hayo yote hayatoshi kukufanya 'uwaste' a little bit of your energy for her?

Hawa hawa wanawake ndo wanafanya yote hayo unayosema? I trusted a Woman once, and I will never repeat such a mistake!
 
Hawa hawa wanawake ndo wanafanya yote hayo unayosema? I trusted a Woman once, and I will never repeat such a mistake!
Sorry for what you went through mkuu, so unaamini hakuna faithful men and women out there?
 
Dogo ambao tunawakojoza na matatizo yanaendelea una lipi la kusema
 
Ijumaa Kareem!

Kumkojoza mwanamke ni jambo rahisi Sana kuliko wanaume wengi wanavyohangaika kila siku kutaka kuwaridhisha wanawake.

Kuna Siri kuu mbili tuu kumkojoza mwanamke;

1. Uhuru wa mawasiliano.
Mwanamke huwezi kumkojoza kama hujampa Uhuru wa mawasiliano.
a) Mwanamke wako lazima umfanye ajihisi huru.
b) Awe huru kujieleza kwako.
Mwanamke anataka kusikilizwa, sio kwenye maamuzi nope! Masuala yote yanayohusu hisia na mapenzi mwanamke lazima umsikilize.

Mwanamke asiyehuru kwako huwezi kumkojoza.
Mwanamke usiyemsikiliza Huwezi kumkojoza.

Mpe Uhuru kiasi kwamba awe na uwezo na uhuru wa kukuambia Baby do this, shika hapa, gusa polepole, twende kasi, hapohapo,

Awe ma Uhuru wa kukuambia Leo ume under perform au Leo umepiga KAZI.

Raha ya kumpa Uhuru mwanamke kwenye game, mnafanya ngono kikahaba na mnakuwa wote On Fire...

Uhuru ni pamoja na kila mtu kuonyesha umalaika na ushetani wake.

Ukishakuwa MTU wa judgement, kuhukumu, kujifanya mtakatifu, kumhofia na kumtilia mashaka. Ni ngumu kumkojoza mwanamke.

2. Kumfanya awe na Hisia na Wewe.
Mwanamke huwezi kumkojoza kama Hana hisia na wewe.
Kama unamuudhi.
Kama huonyeshi kumpenda.
Kama humpi Furaha.
Alafu bahati no kuwa mambo hayo yote sio gharama.

Mwanamke ukimpiga matukio, akaanza kuwa na hofu ya mapenzi yake kwako hisia zake zinaweza kuhama au kuisha.

Mwanamke akiwa na hisia na wewe unaweza piga tako Kumi Tuu akakojoa. Kumi tuu.

Mfurahishe, mpende, kuwa Msafi. Mtunze. Mheshimu(yaani onyesha upendo kwake tuu hata kama unavimada vyako huko asijue).

Mkienda kwenye game mtoto atakuwa ameshalowa, KAZI yako ni ndogo tuu, kulainisha moyo wake na kupasha mafuta yake kwa kumtomasa sehemu nyeti.
Hasa kwenye Kinembe na sehemu zenye miishilizo ya mishipa mingi ya Neva.

Hakikisha mikono yako ni laini na safi kama wewe sio mdau wa kutumia Ulimi.

Elewa, maeneo yanayomsisimua mwanamke mengi yapo nje ya uke wake.

Epuka kuchomeka uume kwa nguvu, na harakaharaka bila mawasiliano na mwenza wako.
Mawasiliano yapo ya mwili na mdomo(maneno).

Unapoweka uume Ukeni mwanamke atakuwa anawasiliana na wewe kwa mwili wake kukupa taarifa uendelee kwa Kasi hiyohiyo au uongeze au upunguze. Mikono yake anaweza kuitumia kukuzuia bila kusema hii ni kumaanisha upunguze Kasi au usichomeke Kwa nguvu au kukuvuta kama anakukumbatia, hii itaashiria kuwa uendelee au uingize ndani zaidi au ongeza Kasi.

Kama umempa Uhuru Sana itakuwa faida kwako zaidi kwa sababu atakuwa akikuambia kwa mdomo wake ingawaje sio mara zote. Hivyo ni muhimu kuangalia mwili wake.

Ni vizuri kusoma mapigo ya moyo wake, pumzi, mwili kuchemka yaani kuanza kutoa kijasho chembamba, Uke kuzidi kuwa wamoto na misuli kukaza kama viashiria vya yeye kukaribia kufika mshindo.

Mshindo unapofika, anaweza kukakamaa, kupiga kelele bila dhamiri, kugeuza macho mdomo ameuachia kama MTU anayekata Moto, vidole vya Miguuni na mikononi kukaza, kurusha Maji, kujamba kisha baadaye mwili hulegea na jasho hutoka. Na mapigo ya moyo kwenda kwa kasi kisha baada ya muda kutulia kama kawaida.
Hapo atakukumbatia au kukushukuru kwa macho ya upendo na shukrani. Hii ni lazima.
Wengine huchoka na kulala(sio wote)
Wengine hutaka Maji ya kunywa (sio wote).

Hii inawahusu wanaume hasa Waliooa. Ambao Wanataka Wake zao wawaheshimu na wawe na Furaha.
Kumbuka, Mwanamke ukimkojoza umesolve asilimia 90% ya matatizo ya Ndoa yako. Kumaanisha Mahusiano yako utakuwa na furaha kwa asilimia 90%.
Vilivyobaki ndio Mambo ya Pesa n.k

Acha nipumzike Sasa.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
siku hizi nasikia ni hela yako tu mkojo unakuja wala hawana mpango wa kukojozwa kwa kujipinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom