Kuna siri gani ya mume kutangulia kufa?

Kuna siri gani ya mume kutangulia kufa?

Wanabodi napenda kuanza kwa kumshukuru Mungu kwa kutulinda na kutufikisha siku ya leo.Pili nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli Laigwanan Edward Ngoyayi Lowasa kilichotokea tarehe 10/02/2024.Pia nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha ghafla cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa klabu ya Yanga wakili msomi Imani Madega ambaye naye amefariki tarehe moja na Lowasa.Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.Baada ya kupokea taarifa za misiba hii mikubwa kwa taifa letu,binafsi nikawa nawaza kuhusu namna ambavyo wanaume ndio mara nyingi wanatangulia na kuwaacha wake zao.Nikajaribu kupitia orodha ya watu maarufu waliofariki na kuacha wake zao ikawa ni ndefu mno kwa kifupi naomba nitoe japo kwa uchache:-
1.Abeid Amani Karume(Mkewe yupo hadi leo)
2.Edward Moringe Sokoine
3. Aboud Jumbe Mwinyi
4. Mwalimu Nyerere
5. Ben Mkapa
6. JP Magufuli
7. Dr. Omary Ally Juma
8. Maalim Seif Sharifu Hamad
9. Bernard Camillius Membe
10.Kapten John Komba
11. Moses Nnauye
12. Jomo Kenyatta
Listi ni ndefu sana.Sina maana kwamba wanawake ndio watangulie ila kwetu kama wanadamu na waja wa Mwenyezi Mungu tunajifunza nini?
Nawasilisha.
Siafikian na hiyo theory, mbona hawa walifiwa na wake zao kabla ya wao

Augustine Lyatonga Mrema
Regnald Mengi
Harison Mwakyembe
John Malecela
 
Mnakuwa na mambo mengi, mara hawara, mara kujengea hawara Mungu anawaonea huruma anaamua kuwapumzisha
 
Kazi hatarishi mfano za ujenzi wa madaraja makubwa,kusafiri minadani tukiwa kwenye malori,kufanya siasa kwa mfano EL,baada ya kujiuzulu,he didn't remain the same,Thadei naye yamesemwa mengi,Lissu pia na wengine wengi.
Uanaume ni kazi.
 
Wanabodi napenda kuanza kwa kumshukuru Mungu kwa kutulinda na kutufikisha siku ya leo.

Pili nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli Laigwanan Edward Ngoyayi Lowasa kilichotokea tarehe 10/02/2024.Pia nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha ghafla cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa klabu ya Yanga wakili msomi Imani Madega ambaye naye amefariki tarehe moja na Lowasa.Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.

Baada ya kupokea taarifa za misiba hii mikubwa kwa taifa letu, binafsi nikawa nawaza kuhusu namna ambavyo wanaume ndio mara nyingi wanatangulia na kuwaacha wake zao. Nikajaribu kupitia orodha ya watu maarufu waliofariki na kuacha wake zao ikawa ni ndefu mno kwa kifupi naomba nitoe japo kwa uchache:-

1.Abeid Amani Karume(Mkewe yupo hadi leo)
2.Edward Moringe Sokoine
3. Aboud Jumbe Mwinyi
4. Mwalimu Nyerere
5. Ben Mkapa
6. JP Magufuli
7. Dr. Omary Ally Juma
8. Maalim Seif Sharifu Hamad
9. Bernard Camillius Membe
10.Kapten John Komba
11. Moses Nnauye
12. Jomo Kenyatta
Listi ni ndefu sana.Sina maana kwamba wanawake ndio watangulie ila kwetu kama wanadamu na waja wa Mwenyezi Mungu tunajifunza nini?
Nawasilisha.
Sababu ni nyingi ila factor zote zikiwa sawa ukitoa ile ya upambanaji wa mwanaume ndio sababu kuu ya mwanaume kutangulia kwasababu kitendo cha mwanaume kutoka nyumbani kwenda kazini tayari kashaji-expose katika risks/hatari inayoweza kumsababishia kifo,

mfano kitendo cha kuchukua usafiri kuelekea kazini tayari kuna probability kubwa ya mwanaume kupata ajari na kufa wakati huo mkewe kamuacha nyumbani(comfort zone) ambako kuna exposure ndogo sana ya kupata kifo.
 
Wanabodi napenda kuanza kwa kumshukuru Mungu kwa kutulinda na kutufikisha siku ya leo.

Pili nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli Laigwanan Edward Ngoyayi Lowasa kilichotokea tarehe 10/02/2024.Pia nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha ghafla cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa klabu ya Yanga wakili msomi Imani Madega ambaye naye amefariki tarehe moja na Lowasa.Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.

Baada ya kupokea taarifa za misiba hii mikubwa kwa taifa letu, binafsi nikawa nawaza kuhusu namna ambavyo wanaume ndio mara nyingi wanatangulia na kuwaacha wake zao. Nikajaribu kupitia orodha ya watu maarufu waliofariki na kuacha wake zao ikawa ni ndefu mno kwa kifupi naomba nitoe japo kwa uchache:-

1.Abeid Amani Karume(Mkewe yupo hadi leo)
2.Edward Moringe Sokoine
3. Aboud Jumbe Mwinyi
4. Mwalimu Nyerere
5. Ben Mkapa
6. JP Magufuli
7. Dr. Omary Ally Juma
8. Maalim Seif Sharifu Hamad
9. Bernard Camillius Membe
10.Kapten John Komba
11. Moses Nnauye
12. Jomo Kenyatta
Listi ni ndefu sana.Sina maana kwamba wanawake ndio watangulie ila kwetu kama wanadamu na waja wa Mwenyezi Mungu tunajifunza nini?
Nawasilisha.
Mental Stress.....
 
Pia kisayansi life span ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume. Hii iko hata nchi zilizoendelea.

Weka hiyo Saiyansi hapa!
Nijuavyo mimi sio Kisayansi, bali kitwakwimu
Ina maana ukichukulia wazee wa miaka 75, wanawake wanaonekana kuwa wengi zaidi kuliko wanaume na hapo tunaongelea takwimu sio Saiyansi
Sasa tutatufe sababu kwa nini wanaume wanakufa mapema?
 
1. Wanawake kujiona wanastahili kulelewa na hata wale wenye uwezo na hivyo kuishia kuwapa msongo wanaume
2.
Watu kama wewe hata kujibiwa ni kupoteza tu muda. Kama hukwenda shuleni basi uliza waliokwenda. Hili jambo kulijua wala huhitaji akili nyingi. Kama unajua kiingereza jaribu kutumia google...
 
Watu kama wewe hata kujibiwa ni kupoteza tu muda. Kama hukwenda shuleni basi uliza waliokwenda. Hili jambo kulijua wala huhitaji akili nyingi. Kama unajua kiingereza jaribu kutumia google...
Acha basi madharau, mimi naijua sayansi vizuri
Leta fact acha porojo
By the way, sio kila kilichopo kwenye Google ni fact
 
Acha basi madharau, mimi naijua saiyansi vizuri
Leta fact acha porojo
By the way, sio kila kilichopo kwenye Google ni fact
FYI: 1. Google doesnt host any lerning/knowledge materials. It is just a search engine. 2. It is Sayansi and not Saiyansi.
 
Kama hilo ndo chanzo,babu yangu aliyekufa na miaka 86 akiwa na wake watano asingetoboa, pia waislamu wa kiume wangeshakufa sana maana wao wanaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja, na kwa kigezo hicho wakristo wa kiume wangeishi miaka 100+ maana wao wanaoa mke mmoja.

Kusimamia kucha kunaongeza uhai wa mwanamme, ukitaka kuamini hili nenda maeneo ya pwani yanayokaliwa na waislamu, hakika wazee wa kiume ni wengi sana kuliko maeneo yanayokaliwa na wakristo
Mke mmoja anaua haraka kuliko matala
 
kama kuna ukweli
 
Back
Top Bottom