DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,199
Tafiti ni wanaume walio kwenye ndoa ufa mapema kuliko wasio.
Vyanzo ni vingi.
1.Kubeba maumivu / madhaifu ya mkewe Siri nyingi mfano kuchapiwa,mtoto wa nje,nk.
2.kauli chafu za wanawake Zina changia vifo vingi vya mapema kwa wanaume hasa wastaafu
Upo sahihi, wanume wanaishi Kwa stress Sana , ukitazama MTU ambaye amechelewa kuoa na anazingatia mitindo sahihi ya AFYA Mara nyingi anakuwa energetic and vitality .
Hivyo lifespan itakuwa kubwa , wanawake wanaua Sana I speak from experience.