Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,910
- 21,948
Kwamba wanabadilisha mlo. Elewa mloTena wajane 90% punde tu wanaume zao wanapokufa huanza kunawiri sura na miili
Kwamba wanabadilisha mlo. Elewa mloTena wajane 90% punde tu wanaume zao wanapokufa huanza kunawiri sura na miili
factsNiataeleza Kwa upana wa uelewa wangu:-
1.Ki Baiyolojia.
-wanaume tunazalisha Hadi uzeeni yaani tunaendelea kuwa na hamu ya kufanya ngono Hadi uzeeni ndio maana tunaoa hadi wajukuu,lakini kina mama Wana menopause ambayo huwasaidia kutunza virutubisho vyao hadi Hadi ubibi kizee!!kadiri mwanaume anavyofanya ngono ndivyo anavyokaribia kifo,IPO Siri katika kutofanya ngono ndio maana watawa wengi au jamii nyingi za siri hujitenga na ngono !!
2.Kiuchumi.
-Bado Sana sekta ya uzalishaji inaaminika ni ya wanaume yaani shughuli au kazi zote za nguvu na risky tunafanya sisi wanaume kwahiyo ajali,ulemavu,kupata sumu zinazoathiri mapafu,moyo,figo n.k hii inasababisha lifespan ya mwanamme kuwa fupi!
3.kijamii
Majukumu makubwa kenye familia,ukoo na jamii kapewa mwanamme ndio mtatuzi was changamoto za mahitaji ya wote,huu msalaba wanawake wamewatubebesha sisi hasta kama uwezo wanao,Hilo huleta sonona kwasababu ni ngumu kutimiza mahitaji ya wazazi,familia Yako na wazazi was mke wako Kwa pamoja,Bado presha ya kutotimiza hayo inamuandama Kila siku!!
4.kisiasa
Bado sisi ndio tuna tazamiwa kupigania uongozi kufa na kupona na hio huleta maadui ndani na nje ya familia,kifo hakiepikiki Kwa style hiyo!!
5.Ulozi,maagano na laana
Kila mwanamme Hadi anafikisha miaka 50 ameshajaribu mengi Santa katika utafutaji,ulozi na uganga hadi maagano mabaya keshajaribu ambayo Yana matokeo.chanya au hasi huko mbeleni!!
Laana za watoto,wapenzi wazazi kutokana na kutotimiza matarajio Yao pia zinatuandama kila kukicha!
Kurogwa au kuchezewa shere pale unapopata unafuu.wa maisha pia hufanya maisha yetu kuwanmafupi!
Ukufuatilia sana kwenye ukoo au familia wanaume tuliofanikiwa ndio hufa mapema.sana.wakiacha mali ambazo.wakati mwingine hazidumu!
Ni kuwindwa na.kuwindana Hadi siku.unaenda!!Hilo nimeona sana!!
Wengine wanaweza ongezea!!
Tatizo mnatupiga stress kibao, mtu unarudi kutoka kwenye kibarua umechoka, sehemu ambapo ulitakiwa upate faraja napo panageuka jahanamu, kwa nini tusife mapema.Haipo hiyo ulimwenguni hata wanaume wanaomba tutangulie sisi lakini ndio hivyo tena Mungu akipanga lake🤣
Tatizo mnatupiga stress kibao, mtu unarudi kutoka kwenye kibarua umechoka, sehemu ambapo ulitakiwa upate faraja napo panageuka jahanamu, kwa nini tusife mapema.
Sijaoa bado lakini naona walioa nao mkuu wanalalamika sana, kwamba huko ndoani wanateseka wanajuta kabisa wanatamani maisha yangu. Ingawa mie pia natamani maisha yao.Huyo chaguo lakoooo.....chaguo lakooo
Whenever you ejaculate, you ejaculate life. Wao mayai yao wanazaliwa nayo, sisi tunayatengeneza. Inshort mwanaume ni kiwanda cha maisha. Kwa maana hio mwanaume Kupoteza vitality mapema zaidi ya mwanamke ni lazimaWanabodi napenda kuanza kwa kumshukuru Mungu kwa kutulinda na kutufikisha siku ya leo.Pili nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli Laigwanan Edward Ngoyayi Lowasa kilichotokea tarehe 10/02/2024.Pia nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha ghafla cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa klabu ya Yanga wakili msomi Imani Madega ambaye naye amefariki tarehe moja na Lowasa.Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.Baada ya kupokea taarifa za misiba hii mikubwa kwa taifa letu,binafsi nikawa nawaza kuhusu namna ambavyo wanaume ndio mara nyingi wanatangulia na kuwaacha wake zao.Nikajaribu kupitia orodha ya watu maarufu waliofariki na kuacha wake zao ikawa ni ndefu mno kwa kifupi naomba nitoe japo kwa uchache:-
1.Abeid Amani Karume(Mkewe yupo hadi leo)
2.Edward Moringe Sokoine
3. Aboud Jumbe Mwinyi
4. Mwalimu Nyerere
5. Ben Mkapa
6. JP Magufuli
7. Dr. Omary Ally Juma
8. Maalim Seif Sharifu Hamad
9. Bernard Camillius Membe
10.Kapten John Komba
11. Moses Nnauye
12. Jomo Kenyatta
Listi ni ndefu sana.Sina maana kwamba wanawake ndio watangulie ila kwetu kama wanadamu na waja wa Mwenyezi Mungu tunajifunza nini?
Nawasilisha.
Mkuu hii ni kanuni ya asili kwa asilimia kubwa ya viumbe hai vyote! Kula maisha na furahi ungalipo! Umauti waja upesi!Wanabodi napenda kuanza kwa kumshukuru Mungu kwa kutulinda na kutufikisha siku ya leo.Pili nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli Laigwanan Edward Ngoyayi Lowasa kilichotokea tarehe 10/02/2024.Pia nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha ghafla cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa klabu ya Yanga wakili msomi Imani Madega ambaye naye amefariki tarehe moja na Lowasa.Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.Baada ya kupokea taarifa za misiba hii mikubwa kwa taifa letu,binafsi nikawa nawaza kuhusu namna ambavyo wanaume ndio mara nyingi wanatangulia na kuwaacha wake zao.Nikajaribu kupitia orodha ya watu maarufu waliofariki na kuacha wake zao ikawa ni ndefu mno kwa kifupi naomba nitoe japo kwa uchache:-
1.Abeid Amani Karume(Mkewe yupo hadi leo)
2.Edward Moringe Sokoine
3. Aboud Jumbe Mwinyi
4. Mwalimu Nyerere
5. Ben Mkapa
6. JP Magufuli
7. Dr. Omary Ally Juma
8. Maalim Seif Sharifu Hamad
9. Bernard Camillius Membe
10.Kapten John Komba
11. Moses Nnauye
12. Jomo Kenyatta
Listi ni ndefu sana.Sina maana kwamba wanawake ndio watangulie ila kwetu kama wanadamu na waja wa Mwenyezi Mungu tunajifunza nini?
Nawasilisha.
Waongo! Wanazaliana kila sikuSijaoa bado lakini naona walioa nao mkuu wanalalamika sana, kwamba huko ndoani wanateseka wanajuta kabisa wanatamani maisha yangu. Ingawa mie pia natamani maisha yao.
Una ufala mwingi wewe 😂😂😂Wanawake Huwa wanaomba Dua kisirisiri mwanaume afe haraka ili ainjoy maisha na kweli unakufa
[emoji2][emoji2]Wanawake Huwa wanaomba Dua kisirisiri mwanaume afe haraka ili ainjoy maisha na kweli unakufa
huwa tunajiuliza inakuwaje wajane wananawiri sana baada ya waume zao kufa, ina maana walikuwa wanaishi wamejibana kwa msongo wa mawazo walipokuwa wakiishi na waume zao?Tena wajane 90% punde tu wanaume zao wanapokufa huanza kunawiri sura na miili
Kama kweli eti🤔Ndiyo maana mwanaume anatakiwa aoe mwanamke alomzidi miaka kuanzia 5..