Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,374
- 3,392
Habari wakuu?
Tukiachana na hizi shanga wanazo vaa dada zetu mama zetu au mabinti zetu
Sijui na Sina hakika kama ni ulembo tu au Kuna mambo mengine ya ziada nyuma za shanga hizo lakini sizi zungumzii hizo shanga hapana
Nime shuhudia waganga wakienyeji wakiingia kwenye majumba ya watu wakitoa vitu kama pembe frani hivi lakini mala nyingi pembe hizo Huwa zime valishwa shanga
Lakini pia majarida mengi na matangazo mengi yanayo zungumzia
mambo haya ya Tiba hizi asiri. Huwa Yana onyesha picha za vyumgu au pembe zinazo kuwa zime valishwa shanga
Lakini si hivyo tu katika zunguka zunguka zangu kwenye kujitafuta Huwa na kutana Sana na hizi shanga
Sasa naomba kujua Kuna Siri Gani kati ya shanga na mambo haya ya elimu yetu asiria?
Shanga Ina nguvu Gani katika mambo haya na kwanini shanga tu??
Karibu wakuu tufunguane akili hapa 🙏🙏🙏