MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
Kumekuwa na sintofahamu kwa sasa kuhusiana na urushaji wa matangazo LIVE ya CHADEMA kila inapotokea kuna matangazo live ya CHADEMA kuna kitu kinatokea cha upoetezaji picha na sauti kutoonekana na pia kuwa na mikwamo mirefu.
Nimegundua kitu hiki ni kipindi cha mnyukano wasiojulikana wanafanya yao kuhakikisha CHADEMA haipati live media hii ni hujuma ambayo CHADEMA mnapaswa kuifanyia kazi ili mwende sawa.
Fanyeni jambo na nyinyi muitingishe ile yao ili mwende sawa.
MWAGA UGALI BEBA MBOGA SEPA NAYO MKAKOMBE MBELE YA SAFARI.