charlxmwangupili
Member
- Dec 27, 2016
- 6
- 2
nin maana ya serial killer
Mbona mnazunguka mbuyu????? mbona kuna tetesi mitaani kuwa kuwa kuna ''Makondoo' yameasi ndo yanayofanya hii kitu??
hizi ID zilizotengenezwa zamani lakini posts zake hazizidi elfu 3 huwa ninakuwa makini nazo!!Mbona mnazunguka mbuyu????? mbona kuna tetesi mitaani kuwa kuwa kuna ''Makondoo' yameasi ndo yanayofanya hii kitu??
Acha kumwaga vitu bro.......Hata kama inaonekana askari ndio victims zaidi lakini bado hakuna pattern inayounganisha askari wanaokumbwa na mauaji yenyewe!! Askari is just a set lakini ukiwa na pattern utatengeneza subset or even subsets!
Kwa mfano, unaweza kukuta ni kweli wanaouawa ni askari lakini ukifanya triangulation unakuta karibu wote wamewahi kufanyia kazi, mathalani Arusha!
Tayari hapo umeshapata pattern inayokutengenezea subset... kwamba, not just cops bali askari walio Arusha au waliopata kufanyia kazi Arusha!
Hapo utaangalia ni matukio gani yenye sura ya kuweza kulipiza kisasi ambayo yamepata kutokea Arusha! Utayachuja kisha utakuja kuhusisha na Pwani... kwamba, victims wa hayo matukio origin yao ni ipi hasa ili tujaribu ku-connect dots kwamba huenda mauaji/matukio yalifanywa na polisi dhidi ya XYZ ambao asili yao ni Pwani na kwahiyo ama ndugu zao or anything like that wanachofanya ni kulipiza kisasi!!!
... au kama ni issue za dini; matukio gani polisi wa Arusha waliyafanya ambayo yaliwalenga watu wa dini fulani. Unaweza kumpata labda D... n.k!!!
Kinyume chake, ninachokiona Pwani ni just killings na victims ni askari polisi na viongozi wa serikali za mitaa!!!
Anyway, si mimi wala wewe tunaofahamu undani wa hao wanaouawa... labda polisi wenyewe wameshaanza ku-connect hizo dots ninazosema!!!
Hawa siyo serial killers wanachagua na serial killers hawachagui.Haya mauaji yanayoendelea huko Pwani yamenifanya nifikirie huenda kuna serial killer huko.
Kwa kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Tanzania tukiwa na tatizo la watu wa hivyo lakini hiyo haimaanishi hawawezi kuwepo.
Pamoja na uwezekano wa matukio hayo kuwa ni ya kighaidi [unaosukumwa na dini], ingekuwa vyema kwa vyombo vyetu vya usalama kuangalia uwezekano wa uwepo wa serial killer pia.
Halafu, nadhani ni muda muafaka sasa kwa askari wetu wa polisi na wale wa usalama barabarani kuanza kuvaa body cameras.
Uvaaji wa hizi camera utasaidia mengi sana ikiwemo kuondoa utata wa unyanyasaji wa polisi.
Kwa sasa sidhani hata magari ya polisi yako mounted na cameras.....
![]()
Haya mauaji yanayoendelea huko Pwani yamenifanya nifikirie huenda kuna serial killer huko.
Kwa kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Tanzania tukiwa na tatizo la watu wa hivyo lakini hiyo haimaanishi hawawezi kuwepo.
Pamoja na uwezekano wa matukio hayo kuwa ni ya kighaidi [unaosukumwa na dini], ingekuwa vyema kwa vyombo vyetu vya usalama kuangalia uwezekano wa uwepo wa serial killer pia.
Halafu, nadhani ni muda muafaka sasa kwa askari wetu wa polisi na wale wa usalama barabarani kuanza kuvaa body cameras.
Uvaaji wa hizi camera utasaidia mengi sana ikiwemo kuondoa utata wa unyanyasaji wa polisi.
Kwa sasa sidhani hata magari ya polisi yako mounted na cameras.....
![]()
Hawa siyo serial killers wanachagua na serial killers hawachagui.
Hawa kero zao ziko kwenye vipeperushi serial killers hawafanyi hivyo
..wako wa aina nyingi.
..wako serial killers wanaochagua victims wao.
..tafuta habari za serial killer anaitwa " b.t.k" ( bind torture kill).
..muuaji " b.t.k" alikuwa mzee wa kanisa, mtumishi wa halmashauri ya jiji moja marekani, na baba wa familia. Lakini pembeni alikuwa muuaji.
.."b.t.k" kichaa chake kilimcharuka akawa anaua watu kwa kipindi fulani. Baadaye akaacha kuua na kupelekea polisi kuamini kwamba huenda amefariki.
..baada ya miaka kadhaa kupita "b.t.k" akaibuka tena na kuanza kutoa vitisho kuwa ataua tena.
..Polisi wakaanza msako tena. Bahati nzuri mtoto wa "b.t.k" aliwahi kupimwa(sikumbuki kwa sababu gani) DNA. Hiyo ilipelekea polisi ku match DNA walizokuwa nazo na DNA(from the crime scene)
ya "b.t.k" na matokeo yake muuaji huyo akakamatwa.
Cc@Nyani Ngabu
Hawa siyo serial killers wanachagua na serial killers hawachagui.
Hawa kero zao ziko kwenye vipeperushi serial killers hawafanyi hivyo
Maslahi mkuu,wanayajua haya ndo maana hawataki kuyajadili bungeni.By the way sisi hayatuhusu yanawahusu askari na wana Kijani waohizi ID zilizotengenezwa zamani lakini posts zake hazizidi elfu 3 huwa ninakuwa makini nazo!!
Sababu ya kuasi ni nini!? Nimesoma habari yote kwenye gazeti la mwananchi iliyobeba uzito wa juu.
Mkuu hata mimi naamini serilali inajua nini kinaendelea.Maslahi mkuu,wanayajua haya ndo maana hawataki kuyajadili bungeni.By the way sisi hayatuhusu yanawahusu askari na wana Kijani wao