Kuna serial killer[s]?

Kuna serial killer[s]?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,250
Reaction score
144,308
Haya mauaji yanayoendelea huko Pwani yamenifanya nifikirie huenda kuna serial killer huko.

Kwa kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Tanzania tukiwa na tatizo la watu wa hivyo lakini hiyo haimaanishi hawawezi kuwepo.

Pamoja na uwezekano wa matukio hayo kuwa ni ya kighaidi [unaosukumwa na dini], ingekuwa vyema kwa vyombo vyetu vya usalama kuangalia uwezekano wa uwepo wa serial killer pia.

Halafu, nadhani ni muda muafaka sasa kwa askari wetu wa polisi na wale wa usalama barabarani kuanza kuvaa body cameras.

Uvaaji wa hizi camera utasaidia mengi sana ikiwemo kuondoa utata wa unyanyasaji wa polisi.

Kwa sasa sidhani hata magari ya polisi yako mounted na cameras.....

06212017_bodycam2_062832-780x532.jpg
 
Wewe Nyani huna unachoelewa zaidi ya kumpigia zumari mfalme. Hakuna kitu kama udini Tanzania ila kuna chama moja chakavu kinachoeneza chuki na uadui kati ya watanzania!
 
mauaji yanasikitisha sanaa, ni wakati wa majeshi yetu ya ulinzi na usalama kuji upgrade kiutendaji maana hivi wanavyofanya kwa sasa akitokea huyo serial killer na kwambia nusu ya polis watakuwa matatani.
 
Wewe Nyani huna unachoelewa zaidi ya kumpigia zumari mfalme. Hakuna kitu kama udini Tanzania ila kuna chama moja chakavu kinachoeneza chuki na uadui kati ya watanzania!

Hahahaaaaaa
 
kazi ya polisi kwa hapa Tanzania inaonekana ni nafuu ya maisha ya ajira tu sio kama kazi ya kitaalamu. leo vijitoto toto vinajipaka poda poda kivulana ndo kipolisi kweli ? lazima tujizatiti tuweke mikakati si kwa sababu ya hili tu bali kwa mambo yote yanayohusu ulinzi na usalama wa nchi.
 
Sababu ya manyanyaso wanayoyatoa hawawezi vaa camera wala audio recorder.
Me ni plans za kuwa na recorder kuanzia kwenye gari hadi pen recording
 
Evidently bado maana umesoma na kuchangia!
Haya mauaji yanayoendelea huko Pwani yamenifanya nifikirie huenda kuna serial killer huko.

Kwa kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Tanzania tukiwa na tatizo la watu wa hivyo lakini hiyo haimaanishi hawawezi kuwepo.

Pamoja na uwezekano wa matukio hayo kuwa ni ya kighaidi [unaosukumwa na dini], ingekuwa vyema kwa vyombo vyetu vya usalama kuangalia uwezekano wa uwepo wa serial killer pia.

Halafu, nadhani ni muda muafaka sasa kwa askari wetu wa polisi na wale wa usalama barabarani kuanza kuvaa body cameras.

Uvaaji wa hizi camera utasaidia mengi sana ikiwemo kuondoa utata wa unyanyasaji wa polisi.

06212017_bodycam2_062832-780x532.jpg

Joseph D. "Joe" Ball of our times.......
 
Hakuna cha serial killer hapo !! Polisi wetu wawe strategic tu;; hii issue ni ya kutumia akili sana siyo nguvu zaidi
 
Kwa situation ilivyo, kwa kiasi fulani inakidhi kuita serial killing ingawaje bado hakuna established pattern!!!
 
Pattern si ndo hiyo ya askari....au?

Kati ya askari waliokwishauliwa na raia wa kawaida, ipi ni idadi kubwa?
 
Kwani serial killers hufuata playbook moja ya kuua?
Naona kama mauaji yao mengi yanakuwa yapo 'subtle' kidogo...polisi 8,trafiki, wenyekiti vijiiji, viongozi wa ccm, hawa ni magaidi, wanalengo la ku achieve political aim fulani
 
Haya mauaji yanayoendelea huko Pwani yamenifanya nifikirie huenda kuna serial killer huko.

Kwa kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Tanzania tukiwa na tatizo la watu wa hivyo lakini hiyo haimaanishi hawawezi kuwepo.

Pamoja na uwezekano wa matukio hayo kuwa ni ya kighaidi [unaosukumwa na dini], ingekuwa vyema kwa vyombo vyetu vya usalama kuangalia uwezekano wa uwepo wa serial killer pia.

Halafu, nadhani ni muda muafaka sasa kwa askari wetu wa polisi na wale wa usalama barabarani kuanza kuvaa body cameras.

Uvaaji wa hizi camera utasaidia mengi sana ikiwemo kuondoa utata wa unyanyasaji wa polisi.

Kwa sasa sidhani hata magari ya polisi yako mounted na cameras.....

06212017_bodycam2_062832-780x532.jpg
Hivyo vizee unavyoviogesha vimefungwa Camera?
 
Hili la NN naweza kiasi Fulani nikakubaliana naye. Mara nyingi serial killer huwa anakitu Fulani kimemsukuma kufanya hayo afanyayo hasa akikusudia kundi Fulani. Waweza kukuta mwingine ana ua wanawake tuu, na akikamatwa akielezea story yake mnagundua kuna mwanamke amewahi kumfanyia kitu kiasi akachukia wanawake wote.
Sasa hapo ndio pakujiuliza, huyu/hawa mbona amelenga polisi na viongozi wa ccm tuu? jee kuna nini amefanyiwa/wamefanyiwa na kundi hilo?
Labda tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom