Kuna sayari zaidi ya Billioni 100 katika Universe, Je Viumbe hai tupo peke yetu ?

Sayari nyingi sio supportive kwa maisha ya viumbe, nnaowasikia ni alliens na sijui wanatoka sayari gani, wanakula nini, wanakufa au hawafi?
Mkuu umeweka hoja nyingi sana katika mstari mfupi.Sisi pia ni alliens kwa hao alliens.Kifo ni transformational process.Kula au kutokula ni isignificant aspect ya uhai.

Kimsingi ninachotaka kukwambia ni kwamba acha fikra zako zishangae bwana
 

Jamaa una akili nyingi!
 
Yap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swala nikilifilia huwa naona bora nisingejua tu hata kama kuna milky way galaxy maana inachanganya sana.

Bora uombe tu Mungu yaishie hapo na usubiri siku ya mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwingi wa sayari isitupelekee imani ya kua na viumbe wengine..mfano shahawa inakuwa na sperms bilioni lakini Moja tuu ndo inakua na kusababisha kiumbe..
 

Kwa hiyo ideas zako ni kwamba issues kama za UFO's ni fabricated stories tu, si ndiyo? By the way, una mawazo gani kusiana na structures ambazo zipo kama pyramids at Giza na moai statues kule easter island?
 
Kwa hiyo ideas zako ni kwamba issues kama za UFO's ni fabricated stories tu, si ndiyo? By the way, una mawazo gani kusiana na structures ambazo zipo kama pyramids at Giza na moai statues kule easter island?
Kuhusu UFOs siwezi kusema moja kwa moja kwamba ni fabrications kwasababu kama mtu akisema ameona kitu na ana uhakika huwezi kumbishia. Hata hivyo kuna mambo wanasema serikali ya Marekani kuna mambo wanaficha. Na kuhusu pyramids na kule easter island hizo ni kama conspiracies na hakuna definitive proof.
 
Yaani mimi ninachosema hapa ni kuwa, Pyramids za Giza na zile sanamu za Moai kule Easter Island. kwa mawazo yako wewe binafsi, unaweza ukasema kuwa zilitengenezwa na aina gani ya viumbe?
 
...na pia kuna theories zinasema the universe expands at higher speed compared to speed of light.. this means kuna signals za kutoka huko galaxies za mbali hazitotufikia kamwe. Its complicated and confusing. I wish Warp drive devices zingekuwepo...
 
Man, This is totally incorrect. Na vile wanavyokwambia tar fulani saa fulani dakika fulani kuanzia sekunde fulani mwezi au jua litapatwa.. You can opt to rely on this to trust mambo mengine wanayokuambia. Walikuja na theories zao na postulates kuwa dunia ni mfano wa tufe..ukianza point A ukazunguka dunia utaishia kurudi kwa point A. Then Mrusi Yuri Gagarin akazunguka dunia for the first time miaka ya 1950's.. To me haya mambo ni complicated sana but as long as wanauwezo wa kuprove some of the existing theories, i do trust wanayotuambia.
 
I concur
 

Thanx. Mimi mwenyewe baada ya kufanya tafiti ndogo ndogo naanza kujiona mjinga. Kuhusiana na uwepo wa viumbe hai kwenye sayari zingine inawezekana ikawa hivi:
1. Hawapo kabisa (Hii inaungwa mkono na maandiko mbalimbali ya dini)
2. Waliwahi kuwepo zamani ila sasa hawapo. (Hii inatokana na kuwepo baadhi ya vitu hapa duniani vinavyoonyesha dalili za kuwahi kutembelewa na hawa viumbe mf picha, maandiko, artifacts, nk) Pia maandiko ya dini yanaunga mkono hili
3. Wapo, ila wako mbali sana na hatuwezi kuwasiliana nao kwa njia yoyote au wanatumia mifumo tofauti na yetu
4. Wapo, ila wanaishi katika dimension tofauti na sisi
5. Wapo kwenye kila sayari, ila wamejificha -labda wanaishi ndani ya hizo sayari sio juu kama sisi (Kuna baadhi ya sayari zinahisiwa kuwa na uwazi ndani ikiwemo yakwetu)
6. Wapo hapa hapa duniani ila wamejificha ( Hollow earth- kwamba dunia ina uwazi ndani na kuna viumbe wanaishi humo).
 
Hili uliloliongea ni jambo la msingi sana. Mimi mwenyewe nimekua nikijiuliza kwanini tunaweka effort kubwa kutaka kwenda Mars ilihali hapa duniani tu kuna maeneo hayajafikika? Kuna theory inazunguka kwamba dunia yetu ni hollow i.e ina nafasi ndani ambayo hao tunaowaita aliens ndio wanakoishi. Na kuna ushahidi wa watu waliowahi kwenda huko na kukutana na viumbe hao wanaoishi humo. Unaambiwa hata baadhi ya wanyama wa zamani ambao walitoweka duniani wapo humo wanaishi. Na njia za kuingilia humo zipo na watu wanazijua! Inasemekana njia zipo kwenye north na south pole lakini pia kuna baadhi ya maeneo zipo. Cha kushangaza ni kua hakuna binadamu yoyote anayeruhusiwa kurusha mguu maeneo hayo, hata ndege haziruhusiwi kupita!!
Sasa hii ukiunganisha na zile stori za mitaani kwamba wachawi hua wana uwezo wa kushuka chini ya bahari na kuna nchi kavu humo watu wanaishi utaona jinsi theory hii inavyoleta maana.
 
...na pia kuna theories zinasema the universe expands at higher speed compared to speed of light.. this means kuna signals za kutoka huko galaxies za mbali hazitotufikia kamwe. Its complicated and confusing. I wish Warp drive devices zingekuwepo...
Ni kweli kabisa mambo ni magumu kuliko tunavofikiria. Na pia kuna uwezekano sisi tukawa first intelligent life kwasababu ukiangalia timeline ya the universe bado tupo mwanzoni na tuliweza kuevolve mpaka multicellular organisms ambayo ni ngumu sana kufikia hatua hii.
 
Obviously naongelea binadamu wa zamani. Ndio kuna vitu havieleweki lakini uwezekano wakutengenezwa na binadamu ni mkubwa zaidi kuliko na viumbe wengine.
Anyways only time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…