kizito2009
Senior Member
- Jan 6, 2010
- 172
- 223
Mkuu umeweka hoja nyingi sana katika mstari mfupi.Sisi pia ni alliens kwa hao alliens.Kifo ni transformational process.Kula au kutokula ni isignificant aspect ya uhai.Sayari nyingi sio supportive kwa maisha ya viumbe, nnaowasikia ni alliens na sijui wanatoka sayari gani, wanakula nini, wanakufa au hawafi?
Kimsingi ninachotaka kukwambia ni kwamba acha fikra zako zishangae bwana