Kuna sayari zaidi ya Billioni 100 katika Universe, Je Viumbe hai tupo peke yetu ?

Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
4,963
Likes
4,825
Points
280
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
4,963 4,825 280
Zote ni possibilities labda tupo sisi tu ulimwenguni, au wapo ila tumewazidi maarifa au wametuzidi. We will never know
Mkuu, kama sisi ndio mbumbumbu kuliko wao utasemaje?!!
 
Wordsworth

Wordsworth

Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
48
Likes
122
Points
40
Wordsworth

Wordsworth

Member
Joined Jan 14, 2019
48 122 40
Kwenye ulimwengu unaojulikana, zipo sayari nyingi zenye kufanana na Dunia na kama zipo za hvi basi uwezekano wa kuwepo na viumbe hai kama wa hapa duniani hasa hasa intelligent life kama sisi binadamu pia ni mkubwa. Lakini mambo siyo marahisi kihivyo kwasababu,

kama intelligent life ipo basi tungeshapata signal kutoka kwao siku nyingi hasa hasa radio signals. Manake chochote kile kilichopo ulimwenguni kinatoa signals. Hii ni sana sana kwa exo planet ambazo hazina umbali mkubwa (maybe hazizidi 100000 ly).
Kwa zilizopo mbali zaidi (kwanzia million ly) signal zitachukuwa muda mrefu zaidi kutufikia kwa teknolojia tulionayo hivi sasa. Hata tunazozipata kwasasa kutoka kwenye hizo sayari za mbali, ni za zamani sana miaka zaidi ya billioni na hizo dunia zitakuwa zimebadilika sana.
Na kwa jinsi tulivyo kwisha weza ku detect hata zamani hzo kulikuwa hamna intelligent life.

Na hata kwa upande wetu hao viumbe wa sayari za mbali (kama wapo) wanapokea signal za dunia ilivokuwa zamani sana kabla hta viumbe hapa duniani havija evolve. Na hii ni kama teknolojia watakayokuwa wanaitumia inafanana na ya kwetu, ikimaanisha kuwa kimaendeleo watakuwa sawa na sisi au tunafanana kwa kiasi.

Hii pia inamaanisha kuwa, kuna uwezekano mkubwa kuwa kama intelligent life ipo basi itakuwa bado ni primitive au itakuwa imelingana na ya sisi binadamu. Kama kuna ambayo imetuzidi sana uwezekano wa wao kuwepo ni mdogo kwa kuwa kama wangekuwepo wangeshatufikia kwa kuwa teknolojia yao itakuwa kubwa sana.
Hata hivyo kuna uwezekano ya kuwa sisi bado teknolojia yetu ipo primitive na uwezo waku detect hzo signals ni mdogo, mpka labda tutakapo kuwa tumefikia class 1 civilization.

Hivyo basi uwezekano wa intelligent life bado upo 50 50. Kwa hapa bindamu tulipofikia hakuna chochote kinacho prove kuwa kuna intelligent life nje ya dunia.
 
Wordsworth

Wordsworth

Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
48
Likes
122
Points
40
Wordsworth

Wordsworth

Member
Joined Jan 14, 2019
48 122 40
Mkuu usiseme sayari nyingi siyo supportive kwa maisha.Usichukulie kuwa viumbe wote wawe kama viumbe wa sayari hii walivyo.Wanaweza kuwa na hali kulingana na hali ya mazingira ya sayari za huko. Biblia inaunga mkono hicho kitu.
Matayo 18:12-13 Neno: Bibilia Takatifu
12 “Mnaonaje? Kama mtu ana kondoo mia moja na mmoja wao akapotea, hatawaacha wale tisini na tisa mlimani aende kumtafuta yule aliyepotea? 13 Na akisha mpata, nawaambia kweli, anafurahi zaidi kwa ajili ya huyo kondoo mmoja kuliko kwa wale tisini na tisa ambao hawakupotea.

Luka 15:8-10 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)Shilingi Iliyopotea
8 “Au tuseme mwanamke ana shilingi kumi halafu apoteze moja. Si atawasha taa afagie nyumba na kutafuta kwa uangalifu mpaka aipate? 9 Na akisha kuipata atawaita marafiki zake na majirani na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami; nimeipata ile shilingi yangu iliyopotea!
Kutoka kwenye hiyo mistari inaweza kuwa ni taarifa kuwa sayari yetu iliyoingia dhambini ni asilimia moja katika ya sayari zenye binadamu lakini Mungu /Yesu akaacha zile zingine akaja kutafuta /kukomboa moja iliyopotea.
Nimeipenda perspective yako
 
TheChoji

TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Messages
793
Likes
418
Points
80
TheChoji

TheChoji

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2009
793 418 80
Mimi nafikiri hakuna kitu kinaitwa "outer space". Hii inawezekana ni mojawapo ya uongo wa wazungu hasa NASA ili waendelee kupiga hela ndefu. Hii ni kutokana na ukweli kwamba hawa jamaa wamekua waongo waongo sana na pamoja na kujidai kuwa wana teknolojia ya hali ya juu, bado kuna mambo madogo sana wakiulizwa huwa wanabaki kutoa macho tuu..

Naanza kuamini kwamba kila kitu tunachokiona kuanzia jua, mwezi, nyota, nk vyote hivi vipo ndani ya anga la dunia mbalo ni kubwa sana kuliko wanasayansi wanavyotuambia na hakuna uwezekano wa mtu au kitu kutoka nje ya anga hilo. Nadhani vitabu vya dini vilikua sahihi.
 
Kwa taarifa yako outer space haijagunduliwa na NASA. Karne na karne watu walishagundua kuwa outerspace ipo.
Alafu hii ni sayansi inaendana na scientific laws. Pia NASA hawapo wenyewe kwenye tafiti za anga. Yapo mashirika mengi ya nchi mbalimbali na siyo kila kitu wamekigundua NASA.
Nakushangaa sana unasema undanganywa. Smh
 
TheChoji

TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Messages
793
Likes
418
Points
80
TheChoji

TheChoji

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2009
793 418 80
Kwa taarifa yako outer space haijagunduliwa na NASA. Karne na karne watu walishagundua kuwa outerspace ipo.
Alafu hii ni sayansi inaendana na scientific laws. Pia NASA hawapo wenyewe kwenye tafiti za anga. Yapo mashirika mengi ya nchi mbalimbali na siyo kila kitu wamekigundua NASA.
Nakushangaa sana unasema undanganywa. Smh
Mkuu hayo yote uliyosema mimi nayafahamu kwa kina. Wewe mwenyewe fatilia utakuja kugundua mambo mengi tunayoambiwa, ni alfu lela ulela. Kuna kitu hakiko sawa mahali
 
Wordsworth

Wordsworth

Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
48
Likes
122
Points
40
Wordsworth

Wordsworth

Member
Joined Jan 14, 2019
48 122 40
Mkuu hayo yote uliyosema mimi nayafahamu kwa kina. Wewe mwenyewe fatilia utakuja kugundua mambo mengi tunayoambiwa, ni alfu lela ulela. Kuna kitu hakiko sawa mahali
Hebu uwe specific zaidi ni kipi unaona uongo. Kama unahisi outer space ni uongo nakuwa na mashaka kidogo na wewe.
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
538
Likes
372
Points
80
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
538 372 80
Hawa ndugu zetu wanao tumia ungo wanaweza kuzifikia kama wanaweza kwenda Marekani kwa sekunde na wakarudi Tanzania siku hiyo hiyo..Panaitajika utashi wa kisiasa kuwatumia hawa watu waende kwenye sayari za mbali labda kuna viumbe hai au madini
 
azzurre

azzurre

Member
Joined
Apr 14, 2013
Messages
96
Likes
38
Points
25
azzurre

azzurre

Member
Joined Apr 14, 2013
96 38 25
Baada ya milkway galaxy tuliyopo inafuatia Adromeda galaxy huko kusikojulikana huenda kuna viumbe wenye akili kuliko sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hee.
Viumbe wenye akili hapa duniani/ulimwenguni ni viwili tu ambavyo ni binaadamu na majini tu asikudanganye mtu wowote awe msomi au hakusoma.
Malaika wapo kama roboti na viumbe wengine wamepewa maarifa tu kama vile kuku, mbwa nk kwa ajili ya kumtumikia binaadamu (ambae ndie mtawala wa dunia na vilivyomo).
Kutokana na hilo hakuna kiumbe chechote kitakacho kwenda peponi(mbinguni) au motoni ispokuwa binaadamu na majini kwa kuwa tu wamepewa akili ni hawakufanywa kuwa kama roboti(wana uhuru wa kufanya baadhi ya vitu kwa mujibu wa matakwa yao).
 
H sanny

H sanny

Member
Joined
May 25, 2018
Messages
70
Likes
60
Points
25
H sanny

H sanny

Member
Joined May 25, 2018
70 60 25
Hee.
Viumbe wenye akili hapa duniani/ulimwenguni ni viwili tu ambavyo ni binaadamu na majini tu asikudanganye mtu wowote awe msomi au hakusoma.
Malaika wapo kama roboti na viumbe wengine wamepewa maarifa tu kama vile kuku, mbwa nk kwa ajili ya kumtumikia binaadamu (ambae ndie mtawala wa dunia na vilivyomo).
Kutokana na hilo hakuna kiumbe chechote kitakacho kwenda peponi(mbinguni) au motoni ispokuwa binaadamu na majini kwa kuwa tu wamepewa akili ni hawakufanywa kuwa kama roboti(wana uhuru wa kufanya baadhi ya vitu kwa mujibu wa matakwa yao).
Ajazungumzia kuhusu sayari ya tatu(dunia) , amezungumza kuhusu sayari hizi nyingne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
5,896
Likes
3,624
Points
280
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
5,896 3,624 280
Kwa mujibu wa NASA kwa kutumia Telescope yao kubwa hadi sasa wamegundua kuna sayari zaidi ya Billioni 30 katika Milkway Galaxy yetu, pia hadi sasa wamegundua kuwa kuna Sayari Billioni Miamoja (100,000,000,000) katika Universe na bado nyingine zinaendelea kugunduliwa kadri teonolojia inavyozidi kuongezeka.
View attachment 1011198
View attachment 1011199

Pia wanasayansi kwa kutumia Teleacope na vifaa vingine vyenye uwezo mkubwa wamegundua kuwa kuna sayari nyingi nnje ya Solar system yetu zina vyanzo vya maji sema zipo mbali sana linapokuja swala la kuzifikia ndio inakuwa nibshida kulingana na Teknolojia ya sasa.
View attachment 1011200

Je katika Universe nzima ambayo hadi sasa zimeonekana sayari zaidi ya Billioni 100, yawezekana viumbe hai tupo peke yetu tu hapa Duniani au kuna sehem nyingine huko anga za mbali kuna wenzetu wanaishi kama sisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyezi Mungu tu ndo yuko peke yake
 
Kasomeko

Kasomeko

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
205
Likes
231
Points
60
Kasomeko

Kasomeko

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
205 231 60
Zamani kabisa kabla ya wakoloni kuja afrika, babu zetu hawakujua uwepo wa jamii nyingine hasa zilizo mbali nao. Kuna huyu Christopher Columbus yeye inasemekana ndie aligundua uwepo wa bara la america. Kuna wengine walijua bahari/ ziwa linapoanzia ndio mwisho wa dunia.

Kumbe kulikua na jamii nyingi sanaa ila hapakua na teknolojia nzuri za mawasiliano ambazo zingewafanya wakune.

Kwahyo mimi naamini kabisa HATUKO PEKEETU.Sent using Jamii Forums mobile app
 
barikiwa

barikiwa

Member
Joined
Dec 4, 2018
Messages
54
Likes
56
Points
25
barikiwa

barikiwa

Member
Joined Dec 4, 2018
54 56 25
Kwa mujibu wa NASA kwa kutumia Telescope yao kubwa hadi sasa wamegundua kuna sayari zaidi ya Billioni 30 katika Milkway Galaxy yetu, pia hadi sasa wamegundua kuwa kuna Sayari Billioni Miamoja (100,000,000,000) katika Universe na bado nyingine zinaendelea kugunduliwa kadri teonolojia inavyozidi kuongezeka.
View attachment 1011198
View attachment 1011199

Pia wanasayansi kwa kutumia Teleacope na vifaa vingine vyenye uwezo mkubwa wamegundua kuwa kuna sayari nyingi nnje ya Solar system yetu zina vyanzo vya maji sema zipo mbali sana linapokuja swala la kuzifikia ndio inakuwa nibshida kulingana na Teknolojia ya sasa.
View attachment 1011200

Je katika Universe nzima ambayo hadi sasa zimeonekana sayari zaidi ya Billioni 100, yawezekana viumbe hai tupo peke yetu tu hapa Duniani au kuna sehem nyingine huko anga za mbali kuna wenzetu wanaishi kama sisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila sayari ina mfumo wake wa ku support maisha ya viumbe hai. Dunia yetu inasupport life in 3D dimension (physical). Akili zetu zimefungwa na time and space ndio maana maswali kama haya tunashindwa kuyajibu kwa sababu yapo nje ya uwezo wako, ili kufahamu ukweli lazima uwe beyond the time and space

Mkuu lifecoded pitia hapa
 
I

Iblis Bin Shetan

Senior Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
122
Likes
104
Points
60
I

Iblis Bin Shetan

Senior Member
Joined Sep 24, 2018
122 104 60
Kwenye ulimwengu unaojulikana, zipo sayari nyingi zenye kufanana na Dunia na kama zipo za hvi basi uwezekano wa kuwepo na viumbe hai kama wa hapa duniani hasa hasa intelligent life kama sisi binadamu pia ni mkubwa. Lakini mambo siyo marahisi kihivyo kwasababu,

kama intelligent life ipo basi tungeshapata signal kutoka kwao siku nyingi hasa hasa radio signals. Manake chochote kile kilichopo ulimwenguni kinatoa signals. Hii ni sana sana kwa exo planet ambazo hazina umbali mkubwa (maybe hazizidi 100000 ly).
Kwa zilizopo mbali zaidi (kwanzia million ly) signal zitachukuwa muda mrefu zaidi kutufikia kwa teknolojia tulionayo hivi sasa. Hata tunazozipata kwasasa kutoka kwenye hizo sayari za mbali, ni za zamani sana miaka zaidi ya billioni na hizo dunia zitakuwa zimebadilika sana.
Na kwa jinsi tulivyo kwisha weza ku detect hata zamani hzo kulikuwa hamna intelligent life.

Na hata kwa upande wetu hao viumbe wa sayari za mbali (kama wapo) wanapokea signal za dunia ilivokuwa zamani sana kabla hta viumbe hapa duniani havija evolve. Na hii ni kama teknolojia watakayokuwa wanaitumia inafanana na ya kwetu, ikimaanisha kuwa kimaendeleo watakuwa sawa na sisi au tunafanana kwa kiasi.

Hii pia inamaanisha kuwa, kuna uwezekano mkubwa kuwa kama intelligent life ipo basi itakuwa bado ni primitive au itakuwa imelingana na ya sisi binadamu. Kama kuna ambayo imetuzidi sana uwezekano wa wao kuwepo ni mdogo kwa kuwa kama wangekuwepo wangeshatufikia kwa kuwa teknolojia yao itakuwa kubwa sana.
Hata hivyo kuna uwezekano ya kuwa sisi bado teknolojia yetu ipo primitive na uwezo waku detect hzo signals ni mdogo, mpka labda tutakapo kuwa tumefikia class 1 civilization.

Hivyo basi uwezekano wa intelligent life bado upo 50 50. Kwa hapa bindamu tulipofikia hakuna chochote kinacho prove kuwa kuna intelligent life nje ya dunia.
Maneno yako mazuri sana
 
kijana13

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Messages
698
Likes
426
Points
80
kijana13

kijana13

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2013
698 426 80
Kuna sayari zingine nyingi ziko mbali Ambazo wanadamu wake wanaishi na hawajatenda dhambi... Mafundisho mengine yana kiimani yanasema ivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hammaz

Hammaz

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Messages
1,484
Likes
1,787
Points
280
Hammaz

Hammaz

JF-Expert Member
Joined May 16, 2018
1,484 1,787 280
Hee.
Viumbe wenye akili hapa duniani/ulimwenguni ni viwili tu ambavyo ni binaadamu na majini tu asikudanganye mtu wowote awe msomi au hakusoma.
Malaika wapo kama roboti na viumbe wengine wamepewa maarifa tu kama vile kuku, mbwa nk kwa ajili ya kumtumikia binaadamu (ambae ndie mtawala wa dunia na vilivyomo).
Kutokana na hilo hakuna kiumbe chechote kitakacho kwenda peponi(mbinguni) au motoni ispokuwa binaadamu na majini kwa kuwa tu wamepewa akili ni hawakufanywa kuwa kama roboti(wana uhuru wa kufanya baadhi ya vitu kwa mujibu wa matakwa yao).
Malaika si kama Roboti bali wao ndivyo walivyo kama wao walivyo na wanapenda na kuchukia. Lakini Roboti halipendi wala halichukii. Kingine huwa wanatabasamu.

Kikubwa ni kwamba wao huwa hawamuasi Mungu, ni watiifu kwa Mungu.
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
6,902
Likes
6,226
Points
280
Age
22
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
6,902 6,226 280
Hebu uwe specific zaidi ni kipi unaona uongo. Kama unahisi outer space ni uongo nakuwa na mashaka kidogo na wewe.
mkuu hawa wengine utaangaika nao bora hata hao nasa wanarusha hayo mavyombo yao huku wakialika watu na vyombo vya habari kushuhudia,ni haki kubisha lkn Kuna namna ya kubisha hasa ktk sayansi.. ye ameshamrusha hata mwewe akaenda huko juu akanakili mambo.? Kuna mataifa kama China na urusi ni mahasimu kwa marekani je wasinge muumbua huyo Nasa kuwa anatupiga changa la macho.. bwana space x wanataka kuwapeleka binadamu mars kama ni uongo wakifanya hivyo si watajiumbua.
Uzuri wa sayansi haina kiongozi we kama unaweza fanya tafiti zako bira kuleta madhara kwa wengine.
 
Forum statistics

Threads 1,262,466
Members 485,588
Posts 30,123,046